Kenya cannot feed her people because all focus is on politics

We're an economic giant on this side of Africa and that's an accomplishment that you don't achieve with hungry stomachs.
Lazy paupers ever
 
Hahahaha, aibu kwa karne hii kufa kwa njaa.
Aibu kwa karne hii kula kinyesi kwa sababu ya njaa heri nife. Vipi Ethiopia imewapita kiuchumi? Ama ndio sababu hamtaki EAC hata ingawa SADC pia hamuonekani...Hata tukaingia hio SADC bado tutakuwa juu yenu... Tafakari hayo yani failed State itatawala Hadi huko.
 
Hatutaki uchumi wa kwenye makaratasi
 
Keep your help to yourself, we don't need it.
 
SADC hakuna njaa na Ukabila, mtakuja kutuambukiza njaa na Ukabila wenu.
 
SADC hakuna njaa na Ukabila, mtakuja kutuambukiza njaa na Ukabila wenu.
SADC Kuna xenophobia na Tz hawataki and humo na hawaelewi kiswahili. We are your only sane and tolerant neighbor. Ushawahisikia Mtanzania ameuwawa Kenya? Na huko SADC(South Africa je)?

Ushawahisikia Mkenya ameuawa South Africa? Na Mtanzania je?
 
Sasa mbona mnauana wenyewe kwa wenyewe kila ufikapo uchaguzi?.
 
Sasa mbona mnauana wenyewe kwa wenyewe kila ufikapo uchaguzi?.
Mbona mnauwawa mkikimbilia Nchi za wenyewe SI mkalishe t*k* zenu kwenu muache omba omba kila Nchi iliyoendekea kiuchumi kuwazidi...Si SA si Kenya yani kila mahali omba omba.
 
Si kule kwenyu kusini mpakani na Malawi waTzed wanakula panya ku-survive?

Hujui hata geography. Nani alikuambia mpakani na Malawi watu wananjaa. Hujui national basket ni hiyo mikoa.
 
Nakubaliana nawe Hata kinyesi Tz ni chakula.

Tupe ushahidi. Sehemu ipi ya Tanzania ambayo watu wamekosa chakula na kula kinyesi.
Mimi nitakupa ushahidi wa sehemu ya nchi ya Kenya ambayo watu wanakufa kwa njaa.
 
Tupe ushahidi. Sehemu ipi ya Tanzania ambayo watu wamekosa chakula na kula kinyesi.
Mimi nitakupa ushahidi wa sehemu ya nchi ya Kenya ambayo watu wanakufa kwa njaa.
Bukoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…