Kenya: Chama cha Madaktari chatishia kufanya mgomo nchi nzima, chatoa siku 21 kwa Serikali

Uchumi ya France Ni almost two times ya Italy.
So kama failed state Ni mzuri ivo wacha iendele kuwa ivo

Uzuri wa nchi ni zaidi ya ukubwa wa uchumi. I'm keeping on advising you guys, don't be allured by economic figures. The important thing is the welfare of the citizens. The economy of Kenya is 5 folds to that of Botswana, but the wellbeing of the citizens of Botswana is far better than of Kenya. Likewise USA and Netherlands, Norway and UK.
 
Hawajitambui, ni ile roho ya uroho inawatawala. Na hiyo inatokana na viongozi wao, kujiongezea mahela mengi.
Kama hao viongozi wanajiongezea mahela kwanini na madaktari wasiongezewe hayo mahela?
Ndio ninyi mliomteka ulimboka nini? mbona hamtaki ustawi wa madaktari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…