KENYA: Chama cha Wanasheria chalaani kauli za Rais Uhuru Kenyatta juu ya majaji

Huyu jamaa anaogopa kurudishwa ICC, kama sio hivyo pangechimbika huko.
 
Mlikuwa wapi Odinga alipokuwa alipokuwa anawapa condition Supreme court kuwa anawapa nafasi ya kujiredeem au yeye ana haki Wajaluo bana mnachekesha sana. Anyways siasa za Kenya ngumu sana
 
'Wazalendo' bhana, yaani kila jambo gumu likitokea wanailaumu demokrasia. Hofu ya kupungukiwa utukufu imewatawala kiasi hawaelewi tofauti ya amani na utulivu.
 
Kule kushakuwa kugumu maana anachoshangaa uhuru wa bunge na watu wengne wameapishwa kwanin uraisi tuuh ndio kuwe na shida....

Which ni kitu cha msingi km vitu vyengne viko sawa kwanin shida iwe uraisi

Sent using Jamii Forums mobile app



Sio mara ya kwanza kutokea, tuliwahi kushuhudia Zanzibar juzi tu hapa.
 
Wizi hauhatarishi amani ya taifa?
 
Andiko la kijinga kabisa, "la choo" ndio nani? Unapotumia maneno ya kudhalilisha unadhihirisha akili yako ilivyokuwa compromised na ujinga
 
Demokrasia kwa wenye elimu ndogo ni mzigo usiotuliwa!!
Hii iliwafaa hao wazungu

aeiou

Sikubaliani na wewe. Wakenya wamesoma na wako well informed. Demokrasia inakomaa Kenya, jaribu kumuita Raisi majina hapa kama hujawekwa ndani. Kenyatta ameishaitwa usoni mwake, mwizi, na mbunge lakini hakuwekwa ndani. Hiyo ndiyo demokrasia. Ukiiba kura unatenguliwa. Wakenya wamesoma tena quality education. Amemushambulia Jaji kwa kumutisha, wananchi hawakumuacha ati kwa kuwa ni Rais amekemewa, hiyo ndiyo demokrasi. Katiba ya Kenya Rais hayuko juu ya sheria. Tuko nyuma Yao, elimu yetu inatuangusha lazima tukubali. Na wawo ukabila na ubinafsi unawaangusha.
 


I believe making that statement the President was drunk. Under New Kenya consitutation, the President does not have power to purnish Chief Justice unless his criminal friends choose to harm him. I also believe Kenyatta cannot harm anyone, except he is sorounded by people most of them are criminals ready to kill to keep him in power for their own benefits and not for the benefit of Kenyans. To make it worse, if a leader has an addiction, it is easy to influence him when his mind is not his own. This is the biggest problem of honorable Kenyatta, otherwise he is a likable person. Please do not mention his VP , he is making a lot of enemy for Kenyatta.
 
Andiko la kijinga kabisa, "la choo" ndio nani? Unapotumia maneno ya kudhalilisha unadhirusha akili yako ilivyokuwa compromised na ujinga
Hukusoma fasihi nini? Ulikimbia shule? Hakutukanwa mtu wala kuzalilishwa. Kama imekuuma nenda mamlaka ya mawasiliano au mahakamani. PUMBAVU MKUBWA WE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…