Kenya commercial bank-karibuni

hirorobert

Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
58
Reaction score
30

Dear friends,take note of the following vacancies at KCB Bank Tanzania ,if you know anyone who is qualified please ask him to wire us through dkondo@tz.kcbbankgroup.com(Please Cv only) point to note: All vacancies hereunder requires minimum of 3 years on similar position


Branch Manager-(Mwanza Branch)
Corporate relation Managers
Corporate bankers analyst,Unit Head IT,Credit officers/managers,Mortgage managers,Procurement managers,Recovery Managers
 

Nairusha mzee, nina uzoefu wa kutosha wa kufanya very succesfully hiyo post ya kwanza na ya pili. Hilo ni eneo langu la kujidai ingawaje nafahamu kutuma CV ni jambo moja na kuwa shortlisted ni jambo lingine!!! Huwa kila cku naajiuliza ma-HR wanatumia vigezo gani.....i can accept defeat kwenye mambo mengine lakini sio banking industry!
 
ungeweka na data zaidi ili tujimwage..
asante sana
 
Good news
 
Hawaitaji Macashier!huko mwanza?
 
Asante kwa info.

Swali langu ni je nafasi zote ni kwa hilo tawi la Mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…