Kenya concers Africa at the just concluded shooting competition in South Africa

Kenya concers Africa at the just concluded shooting competition in South Africa

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Posts
1,375
Reaction score
1,362
Team Kenya has emerged as the overall winners of the IDPA African Championships which took place over the weekend in Cape Town, South Africa .
fwdchu2ahgpwjwz5d8e2b58629ea.png
cjgrqf1xevqdczypqx5d8e2b9b49f3f.png

images (2).jpeg
 

While flagging off the team earlier last week, CS Amina took time to prove that she too was capable of handling a pistol .
 
Why always Kenya? Kwani sisi wabongo hatuna letu nzuri??😭😭😭
 
What is concers? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Nilishasema na nitasema tena, Afrika hii ni shamba letu Wakenya, la sisi kuchezea chezea, hamna wa kutuzidi, hivyo Watanzania muache kujitutumua hamtushndi kwa lolote...hehehehe!! Bila kuitaja Tanzania siku haiendi....
 

While flagging off the team earlier last week, CS Amina took time to prove that she too was capable of handling a pistol .

Naona tatizo la xenophobia bado liko Afrika Kusini. Kipigo kimewageukia Wabongo sasa huko Afrika Kusini. Kwa nini, the rest of Africa, tusilivalie njuga suala hili mpaka kieleweke? Haitoshi kufanya mazungumzo ya kidiplomasia chinichini wakati Waafrika wanaendelea kuuawa huko Afrika Kusini. Tuibague Afrika ya Kusini kwa kutoshirikiana nayo kwa kila kitu. Hakuna kushirikiana nao kimichezo: waondolewe kwenye CAF, CHAN na mashirika mengineyo; hakuna ndege ya Kiafrika kwenda JBurg na ndege zao zisije kwetu; watu wao wasiingie kabisa nchi yo yote ya Kiafrika kama wanavyotukataa sisi; n.k. Kama Waafrika wote wakiondoka Afrika Kusini, tuone sasa kama mlala hoi wa Soweto atapata kazi wanazosema zinachukuliwa na Waafrika wenzao na kama wataondokana na umaskini wanokuwa nao hivi sasa. Najua serikali ya Afrika Kusini imetamka kukemea matukio ya xenophobia. Lakini hiyo haitoshi kwani bado vurugu zinaendelea. Ni pale tu serikali itakapoweka mguu chini kikamilifu na uonevu wa Waafrika utakapokoma kabisa ndipo turudishe uhusiano nao.
 
Back
Top Bottom