Washwa washwa tu na TanzaniaWhy always Kenya? Kwani sisi wabongo hatuna letu nzuri??πππ
Tanzania yetu haina medali hata moja nawashwa Sana πππWashwa washwa tu na Tanzania
Sio muhimu, cha msingi wananchi wetu wana chakula cha kutosha πππTanzania yetu haina medali hata moja nawashwa Sana πππ
Hahaha wazee wa Queen's languageIt's supposed to be' conquers' and I already Know that.
Naona tatizo la xenophobia bado liko Afrika Kusini. Kipigo kimewageukia Wabongo sasa huko Afrika Kusini. Kwa nini, the rest of Africa, tusilivalie njuga suala hili mpaka kieleweke? Haitoshi kufanya mazungumzo ya kidiplomasia chinichini wakati Waafrika wanaendelea kuuawa huko Afrika Kusini. Tuibague Afrika ya Kusini kwa kutoshirikiana nayo kwa kila kitu. Hakuna kushirikiana nao kimichezo: waondolewe kwenye CAF, CHAN na mashirika mengineyo; hakuna ndege ya Kiafrika kwenda JBurg na ndege zao zisije kwetu; watu wao wasiingie kabisa nchi yo yote ya Kiafrika kama wanavyotukataa sisi; n.k. Kama Waafrika wote wakiondoka Afrika Kusini, tuone sasa kama mlala hoi wa Soweto atapata kazi wanazosema zinachukuliwa na Waafrika wenzao na kama wataondokana na umaskini wanokuwa nao hivi sasa. Najua serikali ya Afrika Kusini imetamka kukemea matukio ya xenophobia. Lakini hiyo haitoshi kwani bado vurugu zinaendelea. Ni pale tu serikali itakapoweka mguu chini kikamilifu na uonevu wa Waafrika utakapokoma kabisa ndipo turudishe uhusiano nao.While flagging off the team earlier last week, CS Amina took time to prove that she too was capable of handling a pistol .