Kenya: COVID19 yaonyesha dalili mpya

Variety mpya hiyo mzigoni.

In short sisi ambayo nchi yetu imegoma kutumia chanjo ndiyo tutapata majanga makubwa zaidi na hili gonjwa hatari.

Unatazama katika angle ipi?
Science au ramli chonganishi
 
Kuna Kenya variant tena dooh.
 
Naona nairobi hospital ina trend huko Twitter .."no reke ciume na ene"
 
Maombi ya kupiga nyungu ndio tiba yao. Tungojee tuone..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…