Kenya dams will ruin the Serengeti

Hivi wanamjua Magufuli wanamsikia.. Kwani source ya mto si hipo Tanzania.. SO baba MAGU toa order ifanyike diversion ya mto na ukuta ujengwe TUWAACHIE KORONGO KAVU NA SI MTO MFYUUUUUUU
We source ya mto mara ni kule MAO FOREST (MOSITU YA MAO) kule Kenya,hata wenyeji wa eneo hilo juzijuzi hapa wameshinda kesi ktk mahakama ya africa (African Court on Human and Peoples' Rights) hapa Arusha. Kesi yao ni waendelee kuishi ktk misitu hiyo.

Hivi chanzo cha mto huo upo Kenya Length‎: ‎395 km (245 mi) na kwa upande wa Kenya nadhan upo kwa zaid ya 64% na Tanzania ni 36% na mto huu umwaga maji yake Lake Victoria.
 
Pia kule Kenya huo Mto mara wao wamefanya mambo makubwa sana ukiacha misitu ya mau yanayovutia,ukianzia kule Narok wamelima mashamba makubwa ya umwagiliaji,kisha ukitoka hapo unaingia mbuga ya maasai-mara wamejenga mahoteli makubwa mazuri ya kifahari watalii wanaenda hapo kwa kujimwaga tu.
Maasai Mara kwa upande wa mbuga ni sehemu ndogo sana ya jumla ya Mbuga yote ukichanganya na Serengeti national park lakin kwa upande wa Kenya (MAASAI-MARA) kuna maajabu makubwa sana ya uwekezaji sjui km wale wahusika huwa wanenda kupelelezela uwekezaji wa kimanufaa ili waje waige kwa upande wa SENAPA na mbuga zetu zingine.
 
Nakuunga mkono sana kwa hili jambo.Hii nchi ya Tz imekuwa ikidhulumu waKenya na kuhujumu uchumi wetu kwa muda mrefu sasa.Its time we fire some tomahawks and hellfire missiles towards them.
 
Killing Serengeti will also kill Masai Mara because they are share the same eco-system and animals migrate between the two national parks seasonally. I do hope that common sense will prevail.
 
Fact is Kenyan own the river so they can sabotage Serengeti iumie. The same can be said on Nzoia Lake Victoria iumie. That said how would it bebefit the ecosystem? If i am against the development of a road through Serengeti i should be as concerned on damming River Mara. Lets think of a bigger picture
 
Hujui dunia inavyoenda, wala hujui biashara ya utalii duniani inataka nini, watalii wenye pesa nyingi hawataki msongamano ndiyo maana wanakimbilia Tanzania, kujenga makazi mengi ndani ya hifadhi ni kubadili mandhari alisia ya porini, ndiyo maana Kenya wanapata mass tourism na Tanzania inapata quality tourism, mtalii mmoja anayetembelea Tanzania anatumia pesa mara tatu zaidi ya yule anayetembelea Kenya, endelea kujielimisha zaidi juu ya aina za utalii na faida zake
 
Nakuunga mkono sana kwa hili jambo.Hii nchi ya Tz imekuwa ikidhulumu waKenya na kuhujumu uchumi wetu kwa muda mrefu sasa.Its time we fire some tomahawks and hellfire missiles towards them.

Dhuluma inayoifanyia Kenya nchi ya Tanzania ni zaidi ya hiyo mfanyiwayo
 
Kumbuka hamna parks nyingine za maana! Povu la utomvu wa ndizi za kiburugwa hili [emoji121]
 
Nachukia manege kama huyo jamaa sijui kama wanafahamu the value of the Serengeti compared to Masai mara. The bottom line the more better hotels n lodges than Masai mara qualitywise !
 
mtatambua tu ni nani EA largest economy hio dam itakapojengwa...Kenyatta bado anawabembeleza ndio maana mmemea pembe...
Aisee magu aanze kuchimba visima tu huko Serengeti, maana kiu kinakachokuja humo no cha jehanam, nyumbu itabidi wakanywe maji ziwa victoria[emoji3] [emoji191] hali sio hali tena,Ile ya silibwet dam imeanza kujengwa a few weeks ago, sasa hadi zikamilike zote Saba hali itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…