Kenya: Daraja la Busia limekatika siku chache baada ya kuzinduliwa

Wish this thing collapsed when he was inaugurating this bridge. I won't be surprised if a similar situation occurs along the new SGR project.
I know it would have been really hilarious watching the president and the villagers running helter skelter for their dear lives!
 
Wish this thing collapsed when he was inaugurating this bridge. I won't be surprised if a similar situation occurs along the new SGR project.
Hahaha fool, are u wishing kenyans death indirectly?
 
kuna difference ya kukagua na kuzinduliwa
the bridge was never launched or inaugurated

https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/06/171459_8cb450a496fa69d693b543860ff266c0.jpg
 
Mnapenda kunyonga wa mbali wakati mnae mjamaa mmoja hataki wamama wasome kisa mimba!!
Huyu si mngeanza nae?
Mimba ndio ugonjwa gani utishe kuliko Ukimwi?
Matahira pekee ndio hawawezi kukuelewa ulichoandika.
 
Wachina ni washenzi sana

Mara mia uwalipe pesa kubwa wajerumani wakufanyie kitu cha uhakika
 
Hao ni watu wa kupigwa pigwa kama kwenye reli
 
Wachina ni washenzi sana

Mara mia uwalipe pesa kubwa wajerumani wakufanyie kitu cha uhakika
Wacha kusingizia Wachina kwann basi wafanye hivyo Kenya tu! Mara SGR tripple the price for that in Ethiopia mara collapsing bridges mara fake ferries. Mind u with Chinese's Confucious philosophy u get what u have asked for as a he who issued you the deal is the king! All the blame should go to Jubilee's tenderpreneurship..check Uhuruto n buddies' overseas balances to prove my words.
 
Matahira pekee ndio hawawezi kukuelewa ulichoandika.
Nyie watu km ilitokea hata shule mkaenda bhasi mlikuwa vilaza haswa.

Watu wanajadili daraja lililokatika Kenya, nyie mnakuja kumtusi Rais Wenu. Mijadala ya mimba za mashuleni si imekuwepo na imejadiliwa vya kutosha??? Isitoshe wachangiaji wengi hapa ni Wakenya wenyewe,!
 
kuna difference ya kukagua na kuzinduliwa
the bridge was never launched or inaugurated

https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/06/171459_8cb450a496fa69d693b543860ff266c0.jpg
Akague ama azindue haituhusu bali matumizi mabaya ya fedha za wakenya!
 
Kumbe rais akipitia kwangu asimame juu ya gari yangu atakuwa azindua?
 
Nchi iliyogawanyika.
 
Hahaha fool, are u wishing kenyans death indirectly?
No one wishes deaths for you, ni tabia zenu za Ukora zinawafikisha hapo,
Hilo Daraja ni Obvious wajanja wamepunja materials. Because it is very unusual a bridge to collapse spontaneous, yaani hakuna hata gari ya tani nne imepita na Daraja limebomoka, hakyanani sipitishi gari yangu hapo
Magorofa yanabomoka, madaraja, hata hiyo SGR ilishasombwa na Mafuriko.

Nyie inatakiwa tuwatawale kwa miaka kumi hivi mjifunze utu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…