Kenya: Daraja la Busia limekatika siku chache baada ya kuzinduliwa

Kiukwel Hilo daraja halifanan na bei iliyotajwa hapo lazma Kuna mpigooo
 
Magufuli anawatafuta makandarasi kama hawa
 
Mmmmmmmmmmmh 1.2 billion, wakenya mnaitia aibu sana East Africa, juzi juzi tu hapa mkaangusha na ghorofa
 
Kumbe Kenya kama Tz tu kwa vitu feki, kama nawaona maccm wanavyomshangilia Magu akiweka jiwe la msingi halafu badae likianguka wana mpongeza tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila we jamaa bana
 
Kwa nnavomuelewa Magu ingekuwa ni Tanzania lazima angezaa na mkandarasi..
 
Hamkalisha mizimu iliyopo hapo chini damu ikashiba....likikamilika tena litabomoka tena!
 
Hamkalisha mizimu iliyopo hapo chini damu ikashiba....likikamilika tena litabomoka tena!

Hehehe mizimu tena, kikubwa ni kwamba daraja halikua limekamilika na bado ujenzi ulikua unaendelea, haya ni mambo ya kawaida. Tatizo jamaa wanalipelekesha kwa kasi ili serikali ilitumie kupata kura.

Hapa unapajua huko kwenu Tanzania...









 
Aiseee hapa tumeliwa peupeeee!!!....alaf wachina jamn mungu anawaona eti..
 
ahahaaa huyo mkandarasi katisha.china angenyongwa leo leo
Binafsi sizani kama kosa ni la mkandarasi, may be ni lake, ila wa kulaumiwa ni consultant engineer!!! maana ni wajibu wake kusimamia mradi hatua kwa hatua!!
 
Siku hizi unazeeka vibaya mkuu,
Unashindwa hata kugundua kama hapo kuna Mafuriko yanaharibu Miundombinu ikiwa hilo Daraja lenu Limeanguka pasi ya Kuguswa?

Au labda limepigwa na Upepo likavunjika
 
What i am surprised is the cost of the bridge. What kind of tendering was used, the bridge cost 1.2 billion, does that include a road that will be built to access the bridge? In my opinion that's too much money for such a bridge. I am just playing that the contractor handles all the lost cost expenses because they had not handed it over anyway.
 
Siku hizi unazeeka vibaya mkuu,
Unashindwa hata kugundua kama hapo kuna Mafuriko yanaharibu Miundombinu ikiwa hilo Daraja lenu Limeanguka pasi ya Kuguswa?

Au labda limepigwa na Upepo likavunjika
Wewe nawe mbona hueleweki . Kwani yakijengwa hawakuwa na habari kuwa kunaeza tokea mfuriko? Hivi mbona kitu kama hio ikifanyika kenya kama Ile ghorofa, wewe ndiye wa kwanza kutoa lawama lakini kwenu ndio mafuriko, hehe kubali yaishe wewe.
 
Siku hizi unazeeka vibaya mkuu,
Unashindwa hata kugundua kama hapo kuna Mafuriko yanaharibu Miundombinu ikiwa hilo Daraja lenu Limeanguka pasi ya Kuguswa?

Au labda limepigwa na Upepo likavunjika
Wacha wewe!!!

Excuse butu. Sasa kama hizo ziliangushwa na gharika au upepo, hii ya Kenya iliangushwa na ninii basi, hata ukiangalia?

Those structures zinafaa kuwithstand those forces, na zikilemewa basi ziliundwa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…