al shabab...!
Ikishambuliwa Kenya imeshambuliwa East Afrika. Kenya, Uganda, Ruanda, Burundi na Tanzania zimalize kidomodomo cha al-Shabab. Tukikaa kimya watakuja Tanzania. Hala hala na al-Shabab.
Zile za Rage zilikuwa mbwembwe na ushamba tu. Rage akisikia ushuzi tu anakimbia.Tz tayari wapo,huoni walishamtanguliza Rage? na alishatoa ujumbe kwa kupanda jukwaani live na bunduki
Marytina dear, ukabila sio sababu. Si wasomali wote wako involved. In fact, hawa wasomali walioko huku na wenyewe wamewakimbia hao Ashabaab na usalama ukirudi watarudi pia. wengine ni ndugu zetu (coz TZ wapo pia) na sidhani kama kuwachanganya katika kikundi kimoja na Alshabaab (ambayo sio kabila, ni movement) Kila mtu anajiunga kwa namna yake, sio kwa kabila laketatizo kenya na hasa nairobi imehost wasomali wengi inabidi iwatimue hawa jamaa si wa kuwakaribisha si unaona SOUTH SUDAN imewapiga ban
Zile za Rage zilikuwa mbwembwe na ushamba tu. Rage akisikia ushuzi tu anakimbia.