Kenya declares war on Al Shabaab!

navozijua politics za dunia,hapo pana siri kubwa behind, usishangae had mafuta yanahusika, by the way Mwamunyange umesikia? sniper helcopters sio yale mabati yetu
 
Mungu wangu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! twiga wetuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Bwana Ab-tichaz, could we ascertain that apart from those who died from mechanical failure of a helicopter leading to the crash, that all this officers are very junior. Those who have been in the military for a long time are still roaming the streets in the country. I will not recommend a relative to join military recruitment.
 
mbona hausemi sisi watz tuwape wazenj nchi yao?

Wazanzibar wanapiga porojo tu.
Ukiwakuta magengeni na kwenye vijiwe vya kahawa ndo wanajifanya kudai nchi, wanasema Seif ndo jembe lao, kwanini wasimwambie apeleke maombi rasmi ya kujitenga kwa serikali ya JMT? Au mbunge mmoja kutoka Zanzibar alete hoja binafsi bungeni?
Wenzao MRC wameonesha nia ya kutaka nchi yao, na document wamepresent.
 
Good choice of attack choppers ( the Ka-50 are also known as 'black shark' while the Ka-52 are also known as 'black alligators'), these Russian are superior to the American Apaches.

One thing though, the article doesn't say that Kenya purchased 43 pieces of these beasts...probably they have purchased around 5 or 6 pieces...:A S-coffee:
 
kenya should bomb these alshabaab roaches back to planet mars.
 
Hata wakinunua F16 wataishia kuzitumia kutuliza ghasia za baada ya uchaguzi. Do we really need those military hardware in Africa?
 
Hata wakinunua F16 wataishia kuzitumia kutuliza ghasia za baada ya uchaguzi. Do we really need those military hardware in Africa?

Why do you think Africa was so easily conquered and our people sold into slavery for centuries?
 
wow! wakenya siyo mchezo. Hizi ni kati ya helikopta bora kabisa ktk jeshi la Russia. KDF wanatisha wajameni. Tutakuwa salama majirani?

Hakuna jeshi hapo kenya, hata wangepewa F35, JWTZ ikianza vita na Kenya, with two days tuichukua Nairobi hiyo nakuhakikishia, ho ni jeshi la kupiga kwata tuuuu, na kulewa tu.
 
Hakuna jeshi hapo kenya, hata wangepewa F35, JWTZ ikianza vita na Kenya, with two days tuichukua Nairobi hiyo nakuhakikishia, ho ni jeshi la kupiga kwata tuuuu, na kulewa tu.

:lol::lol::lol:
 
:lol::lol::lol:

unadhan hao ndo wale wanubi wa Idd Amin? kama jesh limetoa madr 15 kusaidia janga la mgomo unadhan vitan watapeleka wangapi?and today's warfare is all about technology
 
unadhan hao ndo wale wanubi wa Idd Amin? kama jesh limetoa madr 15 kusaidia janga la mgomo unadhan vitan watapeleka wangapi?and today's warfare is all about technology

what are you on about?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…