Kenya declares war on Al Shabaab!

Hii ya kupeleka ndege zote hizo na chopa zote hizo,bado vifaru vingi hivyo si tu kwaajili ya Al-shabab, bali ni nafasi ya kenya kushow off power, kuonesha kuwa jeshi lake lina vifaa na nguvu, ni njia ya kutuma ujumbe kwa nchi zingine jirani hususani Uganda ambapo kuna mgogoro baridi wa kisiwa....

Hivi tanzania tuna vifaa vya kisasa kweli..? ooh no nimekumbuka hata mabomu tu hatujaupdate yamesha expire yanatulipukia wenyewe, wakati huo Shimbo anakula mitrilioni tu.
 
here is the evidence u r eyeing a Pakistan status in Africa! listen to Prof. Saitoti and u will realize he is bullying the West to cough funds to contain Al Shabaab using hosting refugees from Somalia as an excuse! Hosting refugees is a duty of every country in this World as long as u r a chattered member of the UN!

Last edited by a moderator:
Hivi vita vinawezekana pia kuwa ni mpango wa serikali ya Kibaki kupata fursa ya kuahirisha uchaguzi mwaka ujao!
 
Hivi vita vinawezekana pia kuwa ni mpango wa serikali ya Kibaki kupata fursa ya kuahirisha uchaguzi mwaka ujao!

Finally you are going to say Kenya wants to invade Somalia in order to control the lucrative piracy business and untapped massive oil reserves in Somalia
 
Finally you are going to say Kenya wants to invade Somalia in order to control the lucrative piracy business and untapped massive oil reserves in Somalia
Hold on now, speak for yourself. I hereby invoke the idiom 'don't put words into my mouth'!
 
Ugaidi ni kama kansa ukiuogopa unakuangamiza kirahisi zaidi. Kenya fanya kinachostahili.
 
Matatizo mengine ni ya kujitakia tu, hata kama hao wazungu wametekwa hivi wakenya wenyewe hawawezi kuwateka hao wazungu mpaka wawasingizie al shabaab? Nairobi na ujambazi ule wote jamani. Mtu unashuka airport jamaa anakushikia mfuko wa kinyesi live anataka fedha ukikataa anakobonda na kinyesi, jamani wale ni alshaabab???

Ningeshawishika kama alshaabab wangelipua kenya na ku kukubali kutekekeleza tendo hilo. Haya mengine matatizo ni ya kujitakia jamani, watu kenya wanakufa na njaa harafu nyie mnatumia mifedha mingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Aiss Waafrika tutaacha ujinga lini?
 
Nenda zako!.Mpaka leo unaamini kwamba hayo mashambulio yalifanywa na marehemu sheikh Osama.Hujajua tu kwamba ni vitimbi vya Amerika ambayo haina huruma na hata raia wake inapotaka sababu ya kuingia vitani.
Halafu nikuulize hivi bibi wa kitalii ni bora sana kuliko maisha ya wakenya wa kawaida?.Mbona hamukuingia vitani wakati askari wa Ethiopia walipovuka mpaka na kuingia Kenya wakaua watu kadhaa.Papo hapo inakuwa na maana kuingia vitani kutafuta watalii.Hizi zote ni sababu za uongo kuhusiana na nia ya kuingia nchi ya kiislamu ya Somalia.
Ingekuwa utalii ni kitu cha maana basi wakenya wangekuwa na nafuu kimaisha kuliko wenzao wa nchi za jirani.Ukweli wakenya ndio maskini zaidi na wanaishi maisha machafu huwezi kuamini.Uchumi wa Kenya sijui nani anayedhibiti au tuseme watalii huja nao na kuondoka nao.
 
ahamedinajad ndie aliyelipua balozi za NBO na DAR.
Big up Kibaki, chinja, twanga ua na sagasaga waria wote msijali ni Al Shabibi ama nani atakaesogea mbele amevaa msuli fyeka risasi mwisho Al Shabibi watatimkia bongo
 
Nawapa hongera sana wakenya kwa kuamua kuwapiga al-shaabab-
alshabaab wasipotulizwa watafanya east africa kuwa kama middle east.hawa wanatakiwa wapotezwe kabisa
 
sijajua kama alikuwa shekhe huyu mr-may be kwa kuwa sijui qualities za kumfanya mtu awe shekhe
Ami umekuwa mtu wa kulalamika kuhusu nchi za kiislamu tu,kuwa zinaonewa-mbona husemi lolote juu ya USA kupeleka wanajeshi kumsaka Konyi ambaye ni mkristo?
 
mkuu kumbuka kuna mashehe na mashehena zama hizi.
 
Tayari nimesema lakini wewe hujaona.Marekani ina adui mmoja mkuu katika nia yake ya kutawala ulimwengu naye ni uislamu baada ya kufa ukomunist.Ukisikia anatafutwa Kony ni ili kusafisha njia ya kuchimba mafuta.Uislamu pekee ndio wenye mafunzo ya kupinga ubeberu wa kimarekani.
 
mkuu kumbuka kuna mashehe na mashehena zama hizi.
Osama alikuwa shehe na Alshabaab vile vile ina mashehe.Hawa mashehena ndio wenzenu munaokunywa nao wanzuki na kibuku,Nyinyi ndio munaowajuwa zaidi na sisi hatuna shida nao.
 
Kwa hiyo una maana Al Shabibi waachiwe tuu na kuendeleza ujangili wao kwa kuwa kuwashikisha adabu ni kumaanisha kuupinga uislamu?
 
Osama alikuwa shehe na Alshabaab vile vile ina mashehe.Hawa mashehena ndio wenzenu munaokunywa nao wanzuki na kibuku,Nyinyi ndio munaowajuwa zaidi na sisi hatuna shida nao.

Kama Al shabibi na Osama ni mashehe na wanakubalika ktk uislamu basi kuna maswali mengi sana unatuachia ktk dini hii. Sidhani kama muislamu ambaye yuko fair minded atawafagilia majangili ya Al Shabibi
Aisifiae mvua imemnyeshea....may be wewe ndie mlevi wa wanzuki na chibuku
 
nimekuelewa"
 
Kama Al shabibi na Osama ni mashehe na wanakubalika ktk uislamu basi kuna maswali mengi sana unatuachia ktk dini hii. Sidhani kama muislamu ambaye yuko fair minded atawafagilia majangili ya Al Shabibi
Uliza maswali yako tutajaribu kuyajibu.
 
Bila clear and unshakeable intelligence, soldiers' high IQ, morale and will to fight and win the war Kenya wanapoteza muda na other resources. Matanka yote hayo ya nini wakati unaenda kupambana na mtu anayetumia AK-47!!!!!!

kwni AK-47 ni ghali sana? Mbona hata quality yake haijafikia Uzi? Wewe kweli hujui silaha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…