joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakenya ndivyo walivyokua wakidanganya na viongozi wao kwa miaka yote tangu wapate uhuru 1963, hapo tayari wanevimba vichwa kwa kuambiwa kwamba wanaongoza Africa nzima [emoji23][emoji23][emoji23]Haya majaa kwa kuota. Yaani mjifungie, ukame uwapige, nzige wawapige, funza wawapige halafu ukuaji wenu wa uchumi uipite Tanzania. Nyie kweli msiokuwa na soni.
Haya majaa kwa kuota. Yaani mjifungie, ukame uwapige, nzige wawapige, funza wawapige halafu ukuaji wenu wa uchumi uipite Tanzania. Nyie kweli manyang'au msiokuwa na soni.
Hii ni thibitisho tosha kwamba viongozi wenu wamekua wakiwadanganya na kuwaaminisha kwamba Kenya inafanya vizuri katika mambo mengi kuliko nchi zingine. Hii ndio chanzo cha wakenya kudhani wapo mbele katika kila jambo hapa Africa, kusingekuwepo na hii teknolojia ya "mass communication" na mitandao ya Kijamii, kusingekuwepo na njia yoyote kwa wakenya kujua ukweli wa hili swala, wangebaki kuamini maneno yake.2.6 % inakaa kama ni kidogo sana kufanya Kenya kuwa ya kwanza Afrika. Siamini habari hii hata kama imetolewa na waziri wa fedha.
Mimi sipingi habari kuwa Kenya imekuwa kwa 2.6%, mimi napinga tu habari kuwa hio 2.6% ni highest ni Afrika. Mimi naamini statistics za serikali ya Kenya. Wewe kama huamini ni sawa tu.Hii ni thibitisho tosha kwamba viongozi wenu wamekua wakiwadanganya na kuwaaminisha kwamba Kenya inafanya vizuri katika mambo mengi kuliko nchi zingine. Hii ndio chanzo cha wakenya kudhani wapo mbele katika kila jambo hapa Africa, kusingekuwepo na hii teknolojia ya "mass communication" na mitandao ya Kijamii, kusingekuwepo na njia yoyote kwa wakenya kujua ukweli wa hili swala, wangebaki kuamini maneno yake.
Kuna vitu vingine vinasikitisha na kukera sana toka kwa viongozi wa Kenya, waziri wa fedha anajua ukuaji wa chumi zote za Afrika, iweje anadanganya hadharani kiasi hiki?, James Macharia baada ya kuwaletea wakenya outdated diesel railway, anawadanganya wakenya kwamba ni Chinese class one, inaonekana viongozi wa Kenya wanawadharau sana wananchi wa Kenya au wanajua kwamba wakenya ni watu wenye kupenda sifa kwahiyo lazima wazungumze mambo ambayo yatawafanya wakenya wajione wapo juu hata kama sio kweli
Tony inaonekana siku hizi unapoteza uwezo wako ule wa zamani wa kujenga hoja, ninaanza kupata mashaka, hivi kwanini unasema mimi nimepinga hiyo 2.6%?, mimi nimepinga hiyo "the highest" kwasababu Tanzania ni 5.2%, Rwanda ni 4.1%. Kwanini siku hizi umeanza kuwa "very suspicious person?, ulipaswa uniulizi ni kipi ninachopinga badala ya kunichagulia wewe kitu ninachopinga.Mimi sipingi habari kuwa Kenya imekuwa kwa 2.6%, mimi napinga tu habari kuwa hio 2.6% ni highest ni Afrika. Mimi naamini statistics za serikali ya Kenya. Wewe kama huamini ni sawa tu.
Yaani leo nataka uelewe kitu kimoja. Sitaki sifa zako. Huwa ninaongea ninavyofikiria bila kujali kama itakufurahisha au la. Yaani ninachojali tu ni kama habari yenyewe ni ya ukweli. Hayo mengine ya wewe kushuku uwezo wangu wa kufikiria ni shida yako. Sijali. Sijabadilika. Wewe unataka nikubaliane na wewe katika kila jambo na hilo haliwezekani. Hata katika ndoa mme na mke hawapatani kila wakati. Kuna wakati maoni yao yanakinzana. Wewe sijali unachofikiria kunihusu. Nitaendelea kuzungumza ninachotaka. Sipo JF kukufurahisha au kukubaliana na wewe. Pole ndugu. Huku sikukuja kukubaliana na wewe au mtu yeyote. I am an independent thinker na huwa nawaza kivyangu bila kushurutishwa na yeyote.Tony inaonekana siku hizi unapoteza uwezo wako ule wa zamani wa kujenga hoja, ninaanza kupata mashaka, hivi kwanini unasema mimi nimepinga hiyo 2.6%?, mimi nimepinga hiyo "the highest" kwasababu Tanzania ni 5.2%, Rwanda ni 4.1%. Kwanini siku hizi umeanza kuwa "very suspicious person?, ulipaswa uniulizi ni kipi ninachopinga badala ya kunichagulia wewe kitu ninachopinga.
Endelea kushuku uwezo wangu wa kufikiria.Tony inaonekana siku hizi unapoteza uwezo wako ule wa zamani wa kujenga hoja, ninaanza kupata mashaka, hivi kwanini unasema mimi nimepinga hiyo 2.6%?, mimi nimepinga hiyo "the highest" kwasababu Tanzania ni 5.2%, Rwanda ni 4.1%. Kwanini siku hizi umeanza kuwa "very suspicious person?, ulipaswa uniulizi ni kipi ninachopinga badala ya kunichagulia wewe kitu ninachopinga.
Growing from holes? 😂😂😂😂😂Bongolalas thought kenya was asleep. Even during the 2007 election violence , we never stopped growing.
You think bringing Kenyan sponsored fake news and smear campaign about Tanzania here bothers us.kweli nyani haoni kundule..
You say bullish, I say… Tanzania’s statistics smell wrong. And the IMF should say so
You say bullish, I say… Tanzania’s statistics smell wrong. And the IMF should say so
Acha uchizi we jamaa, uchumi ungekuwa unakua kinyumenyume yaani Negative mngeingia uchumi wa kati? Ikiwa uchumi wako binafsi unakua kwa negative digits usichukulie wote.Sasa Tanzania ina uchumi gani tunadanganywa na viongozi walioshindwa wamevuruga uchumi hata kabla ya covid 19 uchumi wetu ulikuwa ICU, hivi kukopa hadi kwenye commercial bank kutasaidiaje kuinua uchumi na vurugu zote zilizonyika kwenye sector binafsi. Tuache kudanganyana ukweli ni kwamba ukuwaji wa uchumi wetu kwa sasa siyo Siri ni negative. Nyerere alisema hatuwezi kuficha uwepo wa tatizo na kuweza kulitatua. Tunalo tatizo la kuvuruga after kwa uchumi na huu mtizamo wa uchumi dola ambao ulishashindwa miaka ya 80 sijui hawa viongozi wetu wataendelea kutuhadaa hadi lini.
Hataki kushughulisha kichwa anazani uchumi ukiwa unakua hata akiwa yupo yupo tu bila mipango maalum anakua na pesa hahhaahhaa atapata tabu Sana .au anataka kila akiamka anaokota pesa ndio ataamin uchumi unakua.Acha uchizi we jamaa, uchumi ungekuwa unakua kinyumenyume yaani Negative mngeingia uchumi wa kati? Ikiwa uchumi wako binafsi unakua kwa negative digits usichukulie wote
Bongolalas thought kenya was asleep. Even during the 2007 election violence , we never stopped growing.