Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Yep, a bad one but you seem to get the point bro. Kwa mfano wako wa Tz, umesogeza point yangu a step further..
Kama kikomo ni miaka kumi; raisi anaingia madarakani, anaweka mikakati ya miaka kumi, halfway through anabadilishwa, unafikiri yeye kama raisi ana hasara au ni sisi walalahoi ndo tunabeba gharama za mabadiliko? hata sasa Jk anaboronga lakini bado siamini kama kumtoa baada ya term yake ya kwanza ni dawa..afterall tukimuweka mwingine naye tatatumia miaka yake mitano ya kwanza kujipanga, kununua suti mpya, kujitambulisha nje na ndani na kulipa fadhila. Tukubaliane kuwa Ben alifanya kazi katika kipindi chake cha pili, sasa tukubadili kila miaka mitano kwangu sio dawa..give em the full two terms and see, or, opt for another and spend another five years of whinning
I am not trying to be rude but this is one of 'hem crapiest ideas I hear from ccm propaganda machine every other day. yaani watu wamwache mtu anayeuza nchi kwa kasi kama ya Kikwete kwa miaka kumi mbona basi hata wajukuu wetu wote watauzwa kama vile watumwa waliouzwa marekani walivyokuwa wakiuzwa hadi vizazi vyao vijavyo.
Kikwete atakaa miaka mingine mitano kwa vile njia zote za amani ikiwemo kupiga kura zimeshindwa na wala sio kwa vile inabidi apewe miaka kumi maana mitano haitoshi!