Kenya Election 2007: Outcomes

Jamani walioko viwanja vya ndege Enttebe na Johanessburg nasikia kuna watu kutoka Kenya wameelekea huko.

Kibaki kama amekwenda Kampala naomba K-T fuatilia hii taharifa. au labda kaenda bongo wabongo fuatilia.

Vile vile nasikia Mzee Moi kaenda Johanessburg walioko huko fuatilia hii
 
Got this from a friend in Nairobi.."Not much, about curfew in kisumu and shoot on site orders if found violating it. But that's old news. He's urging for peace, helping police keep the calm. Due to the media ban on live broadcasting, I'm waiting for the radio's to comment, might be an hour or so. NTV say 124 killed so far. All is calm now though. Raila has called for 'peaceful mass action' on thurs. Will let u know if I hear anymore".

Sad day for all east africas
 
Natizama hizi picha kwa huzuni kubwa, lakini mbona kenya red cross siwaoni? Alhj.kinana na Alhj.kimbisa ni viongozi wa Tanzania red cross, nategemea kusikia intervation yao tvt leo.

Dr.Mahiga na Prf.Tibaijuka wanaushawishi mkubwa UN, naomba waingilie kati misaada ya kibinadamu iende haraka. Kama Nairobi ni giza tangu jana, Nairobi hospital pakoje? rubani wetu wa helikopta ya jeshi anahali gani?
 
WarrenDSmith

December 31, 2007 5:54 AM

Two computer scientists, Ronald L. Rivest and Warren D. Smith (me), introduced amazingly simple anti-fraud voting protocols last year. They are simple enough for children to understand. (Rivest is an MIT professor who had earlier won the "Turing award," the highest award in computer science.)
To learn about these methods, see
http://RangeVoting.org/RivSmiPRshort.html

If employed, these would boost election validity and transparency to levels unprecedented in previous human history.

I independently reached the same conclusion as the GUARDIAN
that Kenya's 2007 elections were probably rigged. For
some analysis of how Rivest-Smith could have affected that
(and why I think the elections were rigged) see
http://RangeVoting.org/EFraudKenya2007.html .
 
Nawapa pole wakenya wote,ktk kipindi hiki kigumu cha kuelekea kwenye demokrasia ya kweli.naomba wakae chini na kuacha vurugu ambazo hazita saidia kitu zaidi ya kupoteza maisha ya watu wasiona hatia bila sababu za msingi.viongozi wakubali matokeo japo inauma sana lakini hakuna jinsi.
Wana JF wote tuwaombee ndugu zetu wakenye ili nchi yao hirudi ktk amani na utulivu.
 
Now BBC news has taken the Kenyan issue as a top story Live now for more than 10 minutes. More people been beaten and the police are using live shots very sad indeed. BBC reporters from Kisumu and Nairobi.

What type of leadership can someone produce?

BBC has promised to update this story as it happens all day.
 
sasa huyu fisadi anasababisha mauti ya watu watakaoishi miaka 30 mbele na yeye hata miaka 10 mbele hafikishi na uzee wake
 
'I chartered a plane to flee Kenya violence'

 
Kenyan-Tanzanian, we are praying for your safety.

Jamani kwanini asasi za kimataifa zinakaa kimya? Jamani watanzania wenzangu hasa wa kule kilimanjaro na Arusha muwapokee kwa amani wenzetu hawa kwani Ndugu zetu.
Wapokeeni tu hadi hali ya nchi yao itakapotulia.Hili ni janga la Afrika mashariki nzima.Ndugu zetu tuko pamoja katika wakati huu mgumu
 
SHOULD WE SAY "CRY FOR KENYAN-TANZANIAN", kweli inatisha huyu jamaa tulikuwa naye jana kwenye marathon ya JF mara Jiiiiiiiiiii, wasiwasi !
 
kwanza nnawapongeza wote walio kwenye medani ya kupigania haki yao.

haki siku zote lazima ishinde, ni wakati ukifika huwezi kuurejeha nyuma.


wote waliouwawa katika mapambano ya kutetea haki zao wako hai, na wanafurahia maisha yao ya huko kwa kupigania haki na wisdom na mm sihuzuniki hata kidogo kwao, kwani nnaamini mwisho wa kila kiumbe ni mauti.

wakuhuzunikiwa ni wale ambao wanaua na kudhulumu na kuibiigija roho haki.

haki itatawala dunia na wachukie wenye kuchukia.

ila haki haiji bila ya kuwa tayari kujitoa muhanga.



mungu awe nanyi mliotangulia na wengine wanaendelea kukufateni na wengine wako njiani na ss tunakuja a si sasa baadae.
 
Kiberiti kimeisha njiti, mshumaa mdogo umezimika, upepo unazidi kuvuma, giza nene linatanda, K-T mshumaa wenye mwanga hafifu uliotusaidia kuiona demokrasia africa.
 
SHOULD WE SAY "CRY FOR KENYAN-TANZANIAN", kweli inatisha huyu jamaa tulikuwa naye jana kwenye marathon ya JF mara Jiiiiiiiiiii, wasiwasi !

Kweli lolote laweza kutokea, labda mmoja wetu ampigie simu, kwani nasikia hakuna huduma ya internent Nairobi na hakuna watu kutoka nje, kwa hiyo kama alitegemea ofisini ama internent cafe basi hawezi kuwasiliana na sisi hadi hali itakapotengamaa kwani kwa sasa atakua nyumbani akinywa maji na tena hata simu kama imekwisha chaji hakuna umeme, na kadhalika.

Lakini pia hakuna ajabu kwamba ama amekamatwa ama kujeruhiwa ama hata zaidi ya hapo (Mungu aepushie mbali). Kwa kweli ndugu hapa JF tumuombee mwenzetu awe salama, na yeye akipata mwanya kidogo atujulishe tupate afueni.

Kwa kawaida, hata polisi ukienda kutoa taarifa ya kupotea mtu unaambiwa utoe taarifa baada ya saa 48
 
SHOULD WE SAY "CRY FOR KENYAN-TANZANIAN", kweli inatisha huyu jamaa tulikuwa naye jana kwenye marathon ya JF mara Jiiiiiiiiiii, wasiwasi !

atakuwa amekwenda kunywa nyongo,na kumsikiliza Raila kama Aliruhusiwa kuzungumza pale Uhuru,Nitafanya mawasiliano na Nairobi muda mfupi ujao kujua nini kinaendelea,Taarifa za kukimbia kwa Kibaki kwenda Mombasa ni za Uongo,ila kwa kifupi hayuko kenya kwa sasa kwa sababu za kiusalama.ila nchi iko mikononi mwake,

Kuna Siri kubwa ya kuibiwa kwa kura za kenya,Na ni mpango uliofanya na viongozi wa serikali.Raila angeshinda angebadilisha mfumo mzima wa serikali ya kenya na ingesababisha watu wengi kunyang'anywa ulaji(jambo ambalo limezoeleka hapa Afrika).




Jeshi liko Upande wa kibaki,Bigman acha habari za kubahatisha.elezea ulichokisoma na wacha ulichosikia.
 
UN na wazungu wanasubiri waje kusaidia wakimbizi "humanitarian intervention" ! what else?

Ama Kweli Africa sijui tunaenda wapi! Only God knows!
 
Honorable Raila Odinga and the Pentagon Leaders Arrested!!!


I am sad to announce that Honorable Raila Odinga and the Pentagon leaders have been arrested and Kenya is under the state of emergency. Mwai Kibaki continues to trample on the wishes of Kenyans bluntedly as chaos and mayhem continues all over the country. The good thing is that at the end of it all, the wishes of the people will prevail.

Additional Sources of Information...

Mental Acrobatics and Thinker's Room suggests that Raila Odinga, the opposition Presidential candidate, and William Ruto, an MP from the same party, have been arrested, and that Ruto may have been shot.

Raila and Ruto arrested after the press conference where they announced the alternative inauguration for tomorrow morning. They were taken to hospital by the security forces to be "treated for shock". Message went on to say that Ruto had been shot but not fatally.

Planning an alternative inauguration can be interpreted as treason which would explain the security forces heavy approach (if this is true). During the press conference Raila introduced an army Major who stated that the armed forces are behind Raila. Our military is divided.

This is unverified. It is from a source who has been credible thus far.

Source: Chris Blattman, http://chrisblattman.blogspot.com/
 
Hili zee linadhani litawala kenya kwa kutumia majeshi? I doubt kwa sababu hata majeshi ni wananchi wa Kenya wanajua ukweli wa mambo haya.
Wananchi wa Kenya ukiondoa Wakikuyu na baadhi ya Wakamba waliobaki wamempa Raila kura zao kwa wingi.
Inasikitisha sana na inauma kuona wanachi wanaodai haki yao wakiuawa kama kuku.Jitu lenye chiki Michuki na lile liliobaka na kuiba uchaguzi Kibaka na lile kitu jivu Kivuitu mtalaaniwa kuingiza Kenya kwenye janga kubwa katika historia.UN wamekaa kimya...kama hakuna kitu.majirani Kenya na Uganda nao kimya...wanamuunga mkono Mheshimiwa...jamani ..hivi nchi zetu kweli zilikuwa tayari kabisa katika suala la uhuru na demokrasia?
 
Info from kenyan locals:
'Just come through: Michuki held a conference with 15 cabinet ministers (who are they?! The new ones hopefully?), they plea for calm and one assistant minister has said they're trying to establish contact with ODM officials to discuss how to bring back peace.(First good news).
Raila's peaceful rally call could go wrong, is he hoping to emulate the Phillippines?! He mentioned Ivory Coast, but I doubt it will get that far, tribal tensions need to escalate much further. Rumours about the army being divided and police commissioner's resignation have thankfully been nullified (it better be true!) Raila's rally...Do u see Kibaki bowing to the pressure?! Then PNU will riot! There needs to be public debate between the 2 - who to mediate?! An election run-off maybe? more rigging then? Is police force the only way?! 🙁 '
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…