Kenya Election 2007: Outcomes

Naona Attorney General Amos Wako naye anataka independent probe. Kibaki baki kajifungia tu Ikulu. Inaelekea anakataa hata kuonana na Tutu.

NAIROBI (Reuters) - The Attorney General on Thursday called for an independent probe into Kenya's election after a day of battles in Nairobi between police and demonstrators disputing the re-election of President Mwai Kibaki.

The opposition called off a rally in a central park, saying it wanted to save lives, after a day of fighting during which police fired live rounds in the air and smoke billowed over the city slums.

But it scheduled another public meeting for next Tuesday.

Piling the pressure on Kibaki, Attorney General Amos Wako said in a statement: "It is necessary ... that a proper tally of the valid certificates returned and confirmed should be undertaken immediately on a priority basis by an agreed and independent person or body."

After stocks took a hit on Wednesday, the Nairobi Stock Exchange closed on Thursday due to the mayhem. The shilling, which slumped 5 percent in the previous session, bounced 1.3 percent against the dollar before trading was suspended on Thursday.

Tea and coffee auctions were postponed.

From dawn, riot police were out in force as the city slowly transformed into an all-out battleground.
 

Mtanzania,

Asante sana ndugu yangu kwa optimism na support uliyoonyesha muda wote hapa kwa wananchi wa kenya. Nasikitika kukubali ukweli unaojionyesha sasa kuwa Kibaki is there to stay na pia ana mpango wa kufanya mabaya zaidi.

Kuna unconfirmed reports kuwa M7 wa Uganda ameanza kuingilia issue hii ya kenya. Unajua M7 akiingia sehemu yoyote kinachotokea huwa ni vita mbaya sana - anzia uganda, rwanda, burundi, kongo, southern sudan, na sasa kenya.

M7 anataka kutumbukiza eneo zima la mashariki na kati kwenye vita ili atawale kwa nguvu maana anajiona kama yeye tu ndio ana uwezo wa kutawala. Ukiona hii pressure sasa hivi ya kutulia ni kutokana na hizi habari za M7 zinazoleak. kama unasoma magazeti na kuangalia TV ya Uganda utaona kuwa wananchi wana hasira sana na mzee kaguta kwa vile hakuwa na alternative plan ya mafuta na vitu vingine. Uganda wanalilia mafuta big time sasa hivi.

Tunakoelekea sio kwema. Wakalenjin wakifunga njia ya mombasa-busia basi ujue Uganda inaingia kwenye crisis ya nguvu sana ya mafuta na mahitaji mengine. Sasa hivi inabidi tu haya mambo yawe vingine ili amani ya muda mrefu ipatikane maana la sivyo kuna vita kali sana inakuja kama uganda ikiamua kuingilia mambo ya kenya ili kusuluhisha suala la mafuta na vitu vingine.

mungu turehemu waafrika maana sijui tu tumekosea wapi!
 

Unafiki tu kama wa kivuitu. Huyu wako alizuia mambo mengi sana yaliyopendekezwa na ODM wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi ila sasa hivi anaona mambo yamekuwa magumu kwa kibaki basi nayeye ameanza unafiki.


Suala la mahakama na kuhesabu upya uchaguzi lina utata maana sasa hivi kuna report kuwa serikali ya kibaki inatengeneza form 16A mpya na kuwaita returning officer wazisainishe ili zionekane kama ndizo za awali. Ikifika wakati wa kuhesabu upya au kufanya tallying upya bado dikiteta jongwe la miaka 76 litakuwa "limeshinda" tu na hapo ndipo utaona the second north korea in Afrika.

Kama ulisikia maneno ya kivuitu, anasema kuwa karatasi za kwanza alizoonyeshwa zilikuwa chafu na zimefutwa futwa bila kuwa na counter signature ya Returning officers. Lakini alipoitwa tuesday kuonyeshwa form, anasema kuwa all of them but four zilikuwa safi sana na mpya.

Kazi kwa Desmond Tutu, sijui atashauri kuhesabu mabox, kuhesabu matokeo, au kuitisha uchaguzi mkuu upya.
 

Mwafrika,

Hili jambo wasipolitatua mapema kweli tunakoenda ni kubaya mno.

Naona Wako naye kuingilia kati huenda ikasaidia. Ni kama sasa kunaanza kuwa na nguvu moja ya kutaka kuunda tume huru ili ichunguze kura.

Naona watu wa nje ndio wanataka, ECK ndio inataka, Human rights groups in Kenya wanataka hivyo pia na sasa Wako.

Ni kuomba mungu wakubaliane ili kuiokoa Kenya na nchi za jirani hata sisi Tanzania.
 
Mwafrika,

Kama watasema tume huru ichunguze nina uhakika hilo linawezekana.

Hao watu wa nje watapeleka pale na watu wenye ujuzi wa kujua documents. Palipo na utata basi technology itatumika.

Hata wakibadilisha forms sasa lakini wanaweza kuumbuka maana wakati wanatangaza matokeo kwenye kila kituo kulikuwa na watu wengi kwahiyo hilo
linaweza kuwa proved pale penye utata.

Pia kuna kutumia logic, kwa mfano kwenye ubunge wilaya wamepiga watu 30,000, kwenye urais wameongoza kura na kukuta watu 50,000 walipiga kura. Kuna njia nyingi mno za kujua kwamba data zilizotumika sio sawa.

Wanachoshauri sio kumtangaza Raila au Kibaki kuwa rais, basli wakigundua
kulikuwa na matatizo basi uchaguzi mzima unafutwa na kuitishwa mwingine.

Wacha tuombee njia ya amani kuliko mauaji.
 
Habari nilizopata sasa hivi kupitia kipindi cha harakati RTD ni kuwa Raila amehutubia watu wapatao laki tano (500,000) kwenye viwanja vya Uhuru park. Mchana kulikuwa na tarifa kuwa polisi walikuwa wameigawanya Nairobi katika pande mbili na kufanikiwa kuzuia watu kuandamana huko Kibera. Watu 500,000 ni watu wengi sana na nataka kuamini kuwa kama Raila angewachochea kufanya fujo hata wanajeshi na polisi wote waluioko Nairobi wasingeweza kuwazuia kufanya chochote hata kwenda Ikulu!

Suala la Mwanasheria Mkuu Amos Wako kutaka kura zihesabiwe upya does not hold water maana watawezaje kutambua kura feki zilizoongezwa?
 
karibu ssebo,

Kibaki knew this earlier and he didnt want to handle the country to a person who cant be like him.

what paramaters did you use to say that he cannot handle a country? do you think that those professors and other prominent politicians behind him are fools and you are so clever to have noted that. then bravo for you. but as piece of information i kindly advice you to analyse your remarks explicitly.
 

Hata mimi naomba hivyo.
Kwa sasa kuna media kampeni ya watu wa magharibi ya kumdiscredit Raila. Unajua skendo kubwa za kenya zina mkono mkubwa sana wa nchi za magharibi. Big corporartion ambazo zipo kunyonya uchumi wa nchi masikini zinamwogopa Raila maana jamaa hana kashfa na amekuwa anapambana nao kila leo.

Kama unafuatilia story za AP na Yahoo kuanzia wiki moja kabla ya election utaelewa what I am talking about. Kabla ya election, jamaa wa AP kila wakimwongelea Raila, walikuwa wanamwita radical millionea politician. Baada ya election, serikali ya marekani ilimpongeza kibaki harakaharaka kabla ya kuabishwa na vyombo vya habari na wachuunguzi wengine wa kimataifa.

Baada ya election pia, utaona kuwa AP wanasisitiza kuwa kabila ya Raila ya waluo ndio inasumbua bila kujali kuwa Eldoret ni ya wakalenjin na pia Balali wa Mvita ni mswahili asiyejua hata neno moja la kijaluo. Hebu fuatilia tone ya western media sasa hivi. Kuna presha ya kumsapoti Kibaki, wakoloni mamboloe wanapenda kuona kiongozi wa afrika ambaye ni weak na asiyeweza kusema NO.

Kwa hili Raila anakazi kubwa ya PR maana jamaa wakimshikia bango atakuwa hero kwa wakenya lakini vilain kwa westerners. Inabidi Raila abadilishe strategy na atumie vyombo vingine kutafuta hii solution.

Suala la Kenya limedhihirisha namna Afrika inavyohitaji mabadiliko makubwa sana ya fikra la sivyo kuna safari ndefu sana.
 

Mtanzania asante sana kwa hoja ya kutia moyo.
Kuna wakenya wengi sana wanasoma hii thread bila kuchangia na nina hakika wataona ulichosema na watajaribu kufanya hivyo.

Kama unaangalia hii thread utaona kuwa ina guests karibu 20 all the time. Naomba uendelee kutoa ushauri wako maana wewe uko more optimistic than I am right now.

BTW, Kenyan-Tanzanian uko wapi. Ninakuwa na wasiwasi nisipokuona hapa. Tuunganeni tupinge hii movement ya Museveni ya kuingilia mambo ya Kenya na kutaka kutawala East and Central Afrika.
 
mungu turehemu waafrika maana sijui tu tumekosea wapi!

Tulichokosea na tunachoendelea kukosea ni kwamba we never learn from experience. Africa imejaa vurugu kila kona; matatizo yanayotokea huko viongozi wamekuwa wakishiriki vikao vya kuyaongelea, na wananchi tumekuwa tukishuhudia matatizo ya kiuchumi na kijamii kutokana na majirani zetu kuwa katika migogoro, as if its not enough, bado tunaendelea kusababisha matatizo kwa uroho na ulafi wa madaraka.
Sala yetu iwe Mungu atusaidie kujifunza
 
Kama kawaida yangu huwa ninasema kupigania haki kwa violence is the last resort,and perharps the primitive way,but kwa hili la Raila sikuona suluhisho lingine.
I hate kuona damu ya mwafrika mwenzangu ikimwagika kwa sababu tu ya watu wachache wanaotaka kujinufaisha.
It was very shame for our government to support Kibaki at the cost of Tanzanians.Jamani inabidi na sisi tujifunze kwani hapa kwetu tunahitaji Radical changes,tuiombee Kenya irudi katika hali ya utulivu na Amani.


Injustice anywhere is injustice everywhere!
 

Mwendapole,

Ndio maana ni muhimu sana kwa Wakenya kufanikiwa kumwondoa Kibaki kwa faida ya demokrasia kwa Afrika nzima.

Wakenya wakifanikiwa, watakuwa wameitengenezea Afrika nzima njia nzuri na tishio kwa watawala wetu ambao wanaona kuiba kura kama haki yao.

Mabadiliko yakianza hakuna wa kuyazuia. Eastern Europe walipoanza, watawala walisema hivyo hivyo, yataisha baada ya siku moja lakini baada ya baadhi ya nchi kufanikiwa basi ikawa ndio mwanzo wa mwisho wa Ukomunisti.
 
Wakuu.

Salam toka huku. Shukran kwa niaba ya wananchi wenzangu kwa risala zote mnazotoa kila kuchao.

1. Fujo, vurugu, running battles, mawe, gasi za machozi na maandamano yenye wimbo zakuiokashifu serikali na kuisifu ODM zatanda katika miji yote mikuu ya Kenya: Eldoret, Nakuru, Kisumu, Nairobi na Mombasa yanaendelea hivi sasa baada ya polisi kuwasimamisha makumi ya maelfu ya wananchi kwenye miji kutuofanya mikutano sambamba na ile ya Uhuru Park ilioitishwa na ODM.

2. ODM Viongozi walisimamishwa baada ya kukabiliana vikali na polisi. Wamewaomba wananchi kutokata tamaa hadi pale haki itapatikana. Mkutano mwengine Tuesday next wiki.

3. Ikulu kimya kimetandaa

4. Malori kumi zimeanza shughuli ya kuwasafirisha wakimbizi wa kabila fulani toka huko maeneo ya Eldoret na kuwaleta upande wa Nairobi.

5. Red Cross wanasema 75, 000 watu wamfurushwa makwao.

6. Kanisa la AIC Nairobi lateketezwa moto.

7. Dakika 2 zilizopita Polisi spesheli wa Flying Squad wanasa gari lililokuwa na mabomu nane ya kutengezwa kinyumbani na petroli lita tano.

8. Raila azuru chumba cha maiti cha City na majeruhi waliokwenye hospitali ya Masaaba.

9. Polisi wapambana na fujo kwenye vitongoji saba mjini Mombasa hadi sasa.

10. Hon. Kibaki anatarajiwa kwenda hewani na national address wakati wowote tokea sasa

11. Tuombeeni wakuu, skuli nchini zilitarajiwa kufungua tarihi 7 lakini sasa hadi 14 zimehairishwa. Hakuna kazi yaendelea kwenye miji mingi na shilling yazidi kupoteza nguvu dhidi ya dola. Dece 1$= 63 Kshs lakini sasa 1$=68.
 
Mtanzania:
Ni mhimu sana Kibaki asiachiwe kuendelea madarakani, madaraka aliyoyanyakuwa kwa njia hii ya kihuni aliyoitumia, (ujambazi). It has to be shown that crime does not pay at any level.
 

swali langu ni hili kwani hatakama form zilijazwa upya na watu wa kibaki is there somewhere ambapo representatives wa Raila walitakiwa wawewame sign in order for the documents to be accepted as credible. maana this will be an obstacle to kibaki's efforts of concealing evidence in the recount process.
 

Thanks GOD you are alive.

Waafrika wote wapenda amani na uhuru kamili toka mikononi mwa wakoloni weusi na madikiteta wanataka Kenya ifanikiwe ili watu waone kuwa hata Afrika wanaweza kutoa madikiteta madarakani.

mungu awe nanyi. Stay safe mwalimu k-t
 

Ndio maana inahitajika chombo huru kabisa ambacho kitahakikisha watu wa media na representative wote wanakuja. Siku chache kabla ya uchaguzi wa huu, kibaki alijaza mahakama na marafiki zake ikiwemo CJ mwenyewe. Ukiona watu wa kibaki wanapigia kelele kwenda mahakamani basi ujue wanauhakika kabisa kuwa hakuna kitakachofanyika huko.

Naamini kuwa kama kukiwa na chombo huru kabisa haya yote yatafanyika.
 

Kumuondoa Kibaki ni sawa; but at whose/what cost?
Kuondoka kwa njia ya amani,kwamba atakubali kaiba kura ajiuzulu hiyo haipo; kumuondoa kwingine ni kwa mabavu, na mabavu yanayotumika sasa sio ya kumuondoa Kibaki kama Raisi, ni ya kuondoa uhai wa wananchi wasio na hatia; ingekuwa wanamuondoa kwa njia ya bloodless coup, ambapo mwathirika angekuwa yeye mwenyewe Kibaki na wezi wenzake hapo ningekubali; as it is; kweli jamani what did the people in the church had to do with Kibaki's robbery if we call it that? hivi vifo vya walalahoi vitasaidiaje kumtoa kibaki madarakani...I mean, there are better ways of handling the matter..Kibaki kaiba kura sawa; yeye na wezi wenzie ndo washughulikiwe; hakuna mtu ataenda kwa Kibaki nyumbani au ikulu kumuuua so why the senseless killings in the street. Kwa idadi ya watu wanaokufa na kuathirika kwa mambo haya ni heri Kibaki angekufa if that would restore Kenya's peace and stability; but we can be sure kwamba hata Kibaki akiuawa leo damu ya innocent Kenyans ndo itamwagika vibaya in the name of tribalism and other stupid excuses.

Kwa maana nyingine ni kwamba kuondoka Kibaki madarakani leo kama sio kwa hiari yake basi ni kwa gharama vifo vya ya mamilioni ya wakenya; so if you are to choose a better evil you better make your calculations right
 

Kama unakumbuka mapambano ya Afrika kusini ili kuondoa ubaguzi. Waafrika wengi sana walikufa ikiwemo wazungu wasio na hatia. Watu waliuwawa wakiwa mashuleni na makanisani kama hawa wakenya.

Wakati yote yakiendelea, kuna watu walishauri kuwa damu inayomwagika ni muhimu kuliko mandela na kutaka waafrika wakubali tu waendelee kuishi na wazungu kama red indians walivyokubali yaishe na wakaendelea kuishi na wazungu america.

Ulichokisema hapo, hakina tofauti kabisa na wakatishaji tamaa walichosema wakati wa kupigania uhuru. Hakuna anayefurahia damu kumwagika lakini pia si kweli kusema kuwa isipomwagika basi ndio mwisho wa vifo. Madikiteta wasipoua kwa bunduki, basi wanauwa kwa starvation na magonjwa kama anavyofanya Mugabe huko Zimbabwe.

Chaguo ni je, watu wafe sasa hivi kupigania haki au wasubiri hapo baadaye watakapokufa kwa njaa na magonjwa yanayotibika?
 

Mwafrika:
Your analysis is right on target;it has all to do with 'other people's national interests' and not Kenya's interests. In fact there seems to be a lot of parallels between Kenya and Zimbabwe. In short, wazungu sasa hata aibu wameitupilia mbali. Hakuna mabo tena ya 'double speak' kama yale ya zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…