Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,440 Reaction score 8,149 Sep 27, 2020 #22 joto la jiwe said: Una uhakika gani kama Kalemani ni Msukuma?, sina uhakika na hilo kwasababu jina lake la ukoo la "Matogolo" linamuelekeza kwenye kabila la wazinza zaidi kuliko wasukuma. Click to expand... Wazazi wake ni wasukuma na kazaliwa usukumani, lete hao wakikuyu 20 blah! blah! haisaidii
joto la jiwe said: Una uhakika gani kama Kalemani ni Msukuma?, sina uhakika na hilo kwasababu jina lake la ukoo la "Matogolo" linamuelekeza kwenye kabila la wazinza zaidi kuliko wasukuma. Click to expand... Wazazi wake ni wasukuma na kazaliwa usukumani, lete hao wakikuyu 20 blah! blah! haisaidii
joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Sep 28, 2020 Thread starter #23 Sexer said: Wazazi wake ni wasukuma na kazaliwa usukumani, lete hao wakikuyu 20 blah! blah! haisaidii Click to expand... Kalemani ni mzinza sio msukuma, kuzaliwa Dar es salaam haina maana ni mzaramo, lete majina matatu ya wasukuma katika baraza la mawaziri kwanza.
Sexer said: Wazazi wake ni wasukuma na kazaliwa usukumani, lete hao wakikuyu 20 blah! blah! haisaidii Click to expand... Kalemani ni mzinza sio msukuma, kuzaliwa Dar es salaam haina maana ni mzaramo, lete majina matatu ya wasukuma katika baraza la mawaziri kwanza.