Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Good morning everyone.
Ili kudumisha lugha ya kiswahili, mimi ako na mambo ya kuongelea kuhusu kenya.
Jana Tanzania ime sign kuanza kwa project ya ujenzi wa giant dam kwaajili ya kuzalisha umeme. Wakenya na magazeti yao wapo kimya hawaongelei hili suala. Hivi huu ni wivu au roho ya korosho?
Eneo kubwa la kenya ni nusu jangwa. Kwahiyo vyanzo vya kuzalisha umeme vipo limited. Na ukiangalia kwa jicho la tatu kenya has no future they must depend on majirani wao.
Jana JPM na Waziri mkuu wa Egypt walitiliana sign ya kujenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme. Arab Constructors ndilo kampuni litakalo jenga. Shunguli zote zitakamilika ndani ya miezi 42 starting from day ya kutiliana sign.