Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Endeleeni kudanganya watu katika karne ya 21 in a globalised world(every info can be found thru a smartphone ), They see you as foolsTutazidi kemention Mt.Kilimanjaro IPO Kenya...kwani nini kubwa mtatufanya nyinyi?
Ati GDP ya Kenya $74 bln [emoji115] [emoji23]GDP Kenya - 74.7 billion dollars (2017 estimate)
Foreign Reserves - 7.4 billion dollars(2015)
GDP Tanzania - 50.5 billion dollars (2017 estimate)
Foreign Reserves - 4.1 billion dollars (2015)
Hehehe $6.7 umetoa wapi?Ati GDP ya Kenya $74 bln [emoji115] [emoji23]
Kenya foreign reserves is $6.7 bln ( Kenya's forex reserves drop as central bank supports shilling - Xinhua | English.news.cn)
Lakini ukweli ni kuwa watalii wanaweza talii Kenya na kufurahia Mt. Kilimanjaro. Kama IPO shida hapo, itabidi mkameze wembe.Endeleeni kudanganya watu katika karne ya 21 in a globalised world(every info can be found thru a smartphone ), They see you as fools
8,300 super-wealthy control two-thirds of Kenyaโs economyGDP Kenya - 74.7 billion dollars (2017 estimate)
Foreign Reserves - 7.4 billion dollars(2015)
GDP Tanzania - 50.5 billion dollars (2017 estimate)
Foreign Reserves - 4.1 billion dollars (2015)
That was in MayHehehe $6.7 umetoa wapi?
NAIROBI, June 28 (Xinhua) -- Kenya's foreign exchange reserves have declined by 154 million U.S. dollars in three weeks as the Central Bank sold dollars to buttress the shilling, which is under pressure from international currencies.
The dollar reserves have fallen from 8.26 billion dollars at the end of May, or an equivalent of 5.46 months of import cover, to 8.11 billion dollars at the end of last week, Central Bank of Kenya (CBK) data showed Wednesday.
At the beginning of May, the dollar reserves had peaked at 8.3 billion dollars or 5.49 months of import cover but have been on a downward trend since then.
The forex reserves stood at 8.19 billion dollars or 5.42 months of import cover in the first week of June, then fell to 8.18 billion dollars or 5.41 months of import cover mid this month before further dropping to reach the current level.
During this period, the Kenya shilling has been under pressure due to rise in dollar demand from retail importers and multinationals paying dividends to foreign shareholders.
On Tuesday, the local currency went down against the dollar to stand at an average of 103.70 from 103.60 last Friday when it had stayed unchanged for the better part of the week.
Analysts attributed the fall to intense demand of dollars by oil importers seeking to meet end-month purchases.
Normally, the Central Bank sells dollars to prop up the local currency from falling to levels that would destabilize the money market.
Last week, the Kenya shilling depreciated 0.1 percent against the dollar due to high dollar demand from oil importers and global strengthening of the dollar, according to analysts.
They, however, noted that the shilling would remain steady against the dollar in the short term due to the large foreign exchange reserves held by the Central Bank as it can sell them to support the currency.
[http://www]Hehehe $6.7 umetoa wapi?

Bado sijaina 6.7 billion dollars hapo, wacha porojo babaa. ๐๐๐๐[http://www]
[http://www]
Kenya forex reserves fall on high dollar demand amid rise in shilling
Source: Xinhua| 2017-10-02 22:40:25|Editor: huaxia
NAIROBI, Oct. 2 (Xinhua) -- Kenya's foreign exchange reserves shed 36 million U.S. dollars last week to fall below five months of import cover.
The dollar reserves fell from 7.52 billion dollars, an equivalent of five months of import cover, to 7.48 billion dollars, or 4.9 months of import cover, Central Bank of Kenya data showed Monday.
The decline in foreign exchange reserves indicated a high demand for the dollar by retail importers, in particular those shipping in oil and other merchandise, with the apex bank said to have sold unspecified amount of dollars last week to cushion the Kenya shilling.
The regulator normally intervenes to buttress the national currency to prevent it from falling to levels that may destabilize the market.
Last Thursday, the shilling slipped to trade against the dollar at 103.34 from 103.27, with the drop being the biggest since the start of the week.
However, it closed the week stronger Friday at 103.25, reportedly after central bank intervention. On Monday, Central Bank data showed the shilling continued on a positive path, rising to 103.22.
Commercial banks, however, quoted the currency to the greenback at the 103.10-103.30 level. Enditem
Sponsored by Xinhua News Agency. Copyright [emoji767] 2000-2017 XINHUANET.com All rights reserved.
Kenya forex reserves fall on high dollar demand amid rise in shilling - Xinhua | English.news.cn
8,300 super-wealthy control two-thirds of Kenyaโs economy
Hiyo ndiyo hali ya Kenya, the most ruthless economy in Africa, 2/3 ya uchumi wa nchi upo mikononi mwa watu 8,300 tu, na wengi ni wanasiasa na wageni, watu toka Kibera kazi yao ni kukaa pembeni na kusherehekea GDP kama zuzu, jioni anarudi kwenye mabanda na kujisaidia kwenye mifuko ya plastic, nonsense.
Kama nlivyosema, Kenya economy is the most ruthless in the continent, hata wakenya wenyewe wanalijua hilo, wanasiasa ndiyo walioshikilia uchumi wa nchi, ndiyo sababu siasa Kenya ni kufa na kupona, kila kabila linajaribu kuhakikisha linaingiza mtu wake kwenye nafasi za siasa ili kujiongezea nafasi ya kuwa karibu na uchumi, Kenya haitakaa iwe na amani kama uchumi utaendelea kuwa umeshikiliwa na wanasiasa, pia ndiyo sababu kubwa ya wakenya kukimbia nchi yao kwa wingi kwenda kutafuta fursa nje ya nchi, kama watu elfu 8 ndiyo wameshikilia 2/3 ya uchumi, maana yake milioni 45 wanamiliki 1/3 tu, kwa hiyo true GDP per capital Kenya ni hiyo $20B gawanya kwa watu 45M, utapata ni kama $400, ni hiyo ndiyo hali halisi ya maisha ya wakenya, kama kuna mkenya humu ndani ninaomba anikosoe kwa kutumia data, sio ushabikiHaha umeua mzee watu 8300 ndo wanamiliki uchumi. Hatari sana
Kama nlivyosema, Kenya economy is the most ruthless in the continent, hata wakenya wenyewe wanalijua hilo, wanasiasa ndiyo walioshikilia uchumi wa nchi, ndiyo sababu siasa Kenya ni kufa na kupona, kila kabila linajaribu kuhakikisha linaingiza mtu wake kwenye nafasi za siasa ili kujiongezea nafasi ya kuwa karibu na uchumi, Kenya haitakaa iwe na amani kama uchumi utaendelea kuwa umeshikiliwa na wanasiasa, pia ndiyo sababu kubwa ya wakenya kukimbia nchi yao kwa wingi kwenda kutafuta fursa nje ya nchi, kama watu elfu 8 ndiyo wameshikilia 2/3 ya uchumi, maana yake milioni 45 wanamiliki 1/3 tu, kwa hiyo true GDP per capital Kenya ni hiyo $20B gawanya kwa watu 45M, utapata ni kama $400, ni hiyo ndiyo hali halisi ya maisha ya wakenya, kama kuna mkenya humu ndani ninaomba anikosoe kwa kutumia data, sio ushabiki
Ila ninaelewa sio rahisi kukubali katika jukwaa hili ambapo watu wanashambuliana kiushaki na kiuzalendo, sio rahisi kukubali kudhalilishwa mbele za watu hata kama umefanya kosa, ila hata wao ukweli wanaujua na hali ya maisha nchini Kenya wanaijua vizuri sana na wengi hawakubaliani na jinsi uchumi wa nchi unavyoendeshwa, ila wanashindwa kuubadilisha kwa sababu Kenya siasa ni pesa na pesa ni siasa, wenye pesa ndiyo wanakuwa wanasiasa, au wanawamiliki wanasiasa, kwa hiyo kamwe hawawezi kukubali mfumo utakaowezesha kuwapunguzia utajiri wao ili ugawanywe kwa wananchi walio wengi. KENYA ni nchi yenye matatizo mengi sana, sina uhakika kama Kenya itabaki kuwa taifa moja bila kugawanyika ndani ya miaka 20 ijayoHuwa wanakimbiaga wakiona hoja nzito kama hizi...
Kenya: Police Killed, Beat Post-Election ProtestersHii nchi ina matatizo mengi sana alafu viongozi wao wana ujanja wa kizamani eti wanataka matatizo ya wananchi wao wawaletee watanzania kupitia jumuiya ya Afrika Mashariki... Raia wa Kenya wana shida nyingi sana kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki
Ila ninaelewa sio rahisi kukubali katika jukwaa hili ambapo watu wanashambuliana kiushaki na kiuzalendo, sio rahisi kukubali kudhalilishwa mbele za watu hata kama umefanya kosa, ila hata wao ukweli wanaujua na hali ya maisha nchini Kenya wanaijua vizuri sana na wengi hawakubaliani na jinsi uchumi wa nchi unavyoendeshwa, ila wanashindwa kuubadilisha kwa sababu Kenya siasa ni pesa na pesa ni siasa, wenye pesa ndiyo wanakuwa wanasiasa, au wanawamiliki wanasiasa, kwa hiyo kamwe hawawezi kukubali mfumo utakaowezesha kuwapunguzia utajiri wao ili ugawanywe kwa wananchi walio wengi. KENYA ni nchi yenye matatizo mengi sana, sina uhakika kama Kenya itabaki kuwa taifa moja bila kugawanyika ndani ya miaka 20 ijayo