Tuseme ni wajinga wakijaluoHao ni wajinga wa Gor.
Sirkal yawaa! Okang'eyo but why all this aibu matin matin? Omera iparoga ni in en bar! [emoji1] Huwa wanafanya mengi zaidi ya hayo ambayo yalinaswa na kamera. Nadhani mleta mada aliumwa sana na ushindi wa Harambee Stars jana ndio akaamua kujibu mapigo na hivi vituko vya mashabiki wa Gor Mahia. Hahaa! [emoji1]Hao ni wajinga wa Gor.
I'd hate to be mulisaaa sasa hivi! yaani Dr Congo ilichapwa kichapo cha kufa mtu na ZIMBABWE(just imagine that for a moment) kisha tanzagiza ikatiwa hadi nyuma bila lube bila huruma na cape Verde sasa hajui atokee wapi.
Hii noogle tushaizoea na post zake za upuuzi
I don't support what they didNoogle ni hizo jamaa zako,zinapee kwa ground.
Kumbe hao madem niliwaona jana ndio hawa? Wa EthiopiaNa ndio maana ningumu tushindwe kwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612]View attachment 898750