Kenya: Gaidi ktk shambulio la Dustid2 atambulika, familia yake yakamatwa

😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎



MADRASA MADRASA
 
Acha kukariri maneno watu wanafariki kwa njia tofauti ,kwa kujiuwa,kupigwa risasi ,maradhi,,sumu ,ajali ....ila haijalishi Mungu hatotoa hukumu hukumu ni kwa kila kiumbe kilico umbwa na Mungu lazma kiukumiwe !!!
Mungu Mwenye upendo wote hawezi kutuumba kwa kutuwekea complicated systems namna ile halafu kisha akataka tuwe tunajifiafia tu kama Mende au Kunguru! "Mungu" Wa namna hiyo lazima tumtilie shaka kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hawa wantolewa kwenye mazingira ya kimaskini. So akipigwa million 100. Anaona hapa inawezekana kabisa .
So hawa wanaotoa hizo instruction wanajua weakness zao na jinsi ya kuzi manipulate na kuwashauri wajitoe mhanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa islam waliofariki walikua wawili ila naiman hawakua kwenye target ila mda wawo ume fikia wakawa wametanguliya mbele ya haki yasemekana shambulizi lilipangwa mwaka mzima ,,but nakua na umizwa na innocent people wanapofariki kwa njia kama hizo ila sio hawo wanao ushambulia uislam nakutaka ku uangamizaa !!
Duh bora wangetafuta njia mbadala sasa wameondoka na wengine 20+1 wakiwemo waislam

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa aliponea chupuchupu ile sept.11!!WTC

Men armed with guns and explosives burst into Nairobi's DusitD2 compound, killing at least 21 people in an attack that lasted hours and ended Wednesday morning, Kenyan President Uhuru Kenyatta said.

DusitD2 is an upmarket cluster of shops and hotel facilities in the Kenyan capital, his company said.

Spindler dedicated his life to helping others through his work as a business investment adviser, his parents told KTRK. It's what brought him to Nairobi, they said.

Spindler was the founder, CEO and managing director of I-DEV International, a strategy and investment advisory firm that attempts to grow businesses in emerging markets.

Long before he started his own company, he worked at 7 World Trade Center in New York, his mother Sarah Spindler said.

He was late to work the morning of September 11 when the planes hit the towers, she said. He was emerging from the subway as the first tower fell, she said.

Later on, he joined the Peace Corps in northern Peru, where he helped farmers develop a co-op that would let them sell to larger markets.

Sent using Nokia ya Torch
 

Kwa kutumia kikokoto cha zamani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Serikali ilitakiwa ikutafute mtu kama wewe ikung'oe mapumbu,ng'oa kucha hizo,ikutoe na macho kwa kisu butu,ili ujue utamu wa ugaidi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…