Kenya: Gaidi ktk shambulio la Dustid2 atambulika, familia yake yakamatwa

Kenya mmemifurahisha , Mmetupa somo sisi watoto wa wale wasiojulikana😁😁😁😁
 
Kuna ushahidi gani kwamba amejitoa muhanga??...nadhani mtaniona chizi kwa sababu ile clip ilionyesha kabala na baada ya kulipuka. Waweza kufikiri tofauti mfano shuhuda aliyempita muda mfupi kabla ya kulipuka alimsikia akiwasiliana na wenzake na alionekana kama walikuwa wamepotezana.....yawezekana kwa mtizamo wangu...bomu hilo alikuwa amelibeba ili alitumie ama kujihami ama kutisha kwa kulipua kabla ya tukio lakini kwa kutokuwa mzoefu na mabomu bomu hilo lilimlipukia kabla ya kulirusha....je! haiwezi kutokea hivyo!!??
 
Kwa hiyo alshabibi wanafanya kwa manufaa ya umma wa waislam? Hebu fafanua kidogo. Ninavyofahamu Ashabibi hawakubaliki na waislam kama vile mtoa mada anavyobainisha?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
D, ninesoma hoja za ibby na mtoa mada sisiti kusema kuna shida mahali. Naona wazi kabisaa wanachanganya dini na ugaidi hii ni mbaya sana. Jamaa mmoja hapo juu anasifia uuaji wa wengine akisema hao waislam waliokufa ilikuwa bahati mbaya! Huyu unamuweka ktk kundi gani? Mwingine anasema gaidi ana ubinadamu wake! Ubinadamu upi wa kujitoa muhanga na kuua ubinadamu mwenzake.

Halafu wakati mwingine utawasikia wakisema oohh ugaidi si uiislam...sijui makosa yao siyo uislam mbona hapa wanachukua upande wa magaidi...hawa jamaa waache unafiki kama nyeupe waite nyeupe kama nyeusi waite nyeusi unafiki ni mbaya sana....
Nisingependa kudhihaki dini za watu. Lakin kama ndio imani yake what i can do.?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mkuu usinilishe maneno ukweli ni kwamba katika uislam yapo mambo ukiyafanya adhabu yake ni kifo na wala uislam hauruhusu ku uwa innocent people haijalishi muislam wala asiye muislam !!! Kama mfano mtu anae upiga vita uislam na kutaka kuangamiza uislam na wa islam uyo ruhsa kumua ukimpatia nafasi,,,mtu alie zini hali ya kwamba ana mkee (akiwa kwenye ndoa) kuchimbiwa shimo na kupigwa mawe hadi kufa kwa inchi zinazofata shariah Law ,mtu alie ritadi (murtadi)alie toka kwenye uislam na huyo pia....ndo ukweli huyoo ukubali uchukie na ukatae pia !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma koment yako namba 28 kwanza. Watu tunawaza kuepuka haya majanga na kupambana nayo we una sympathize NO kwa hii nitakupinga ndugu.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…