KENYA: Gari moja ya msafara wa rais Uhuru Kenyatta yapata ajali

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,903


Msafara wa mgombea urais wa Jubilee ambaye pia ni rais wa Kenya Uhuru Kenyatta umepata ajali mbaya ya gari na kupelekea watu 6 kuumia vibaya.Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine walikuwa wanaelekea Eneo la Gusii kwa ajili ya kuhutubia mkutano. Gari la Polisi lililokuwa limetangulia limegongana na daladala. Picha hizi ni kwa mujibu wa gazeti la The Standard
 
Tunawapa pole na Mungu awape afya njema hatimae Mh Kenyatta aibuke kidedea na huyu mwingne rafki wa --------ashindwe kabsa
 
Poleni kwa wote waliopatwa na ajali

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Kwani hawakufanya sweeping? Au daladala ndio wakorofi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…