Kenya Gizani, Maeneo karibia yote kukosa Umeme

Kenya Gizani, Maeneo karibia yote kukosa Umeme

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
1725609131749.jpeg

Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi

Taarifa hiyo imetolewa na Kenya Power Saa 9:20 asubuhi ya leo Septemba 6, 2024 kuwa hitilafu itatokea katika maeneo mengi nchini lakini maeneo ya Kanda ya Magharibi na North Rift hayataathiriwa

Aidha Agosti 30, 2024, Kenya kulikuwa na tatizo la kukatika kwa umeme, ambapo sehemu kubwa ya nchi iliathirika isipokuwa maeneo ya North Rift na Kanda ya Magharibi.​
 
Wakija kuandika chochote humu mniite 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom