KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Harusi ya AliKiba Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa. Ameozeshwa na Sheikh Mohamed Kagera.

Video;



index.jpeg
 
inamaanisha hawa wasanii hawaoni mademu huku tz maana wote wanakimbilia ng'ambo
 
Mmh! Labda hao wasanii wenzie Mkuu ndio tuseme ni wadangaji, sababu wanaoishi maisha nje ya Usanii wapo kibao ambao ni wife material Mkuu.

Na wadangaji hata uko nje ya Tanzania wamejaa tu Mkuu.
nakubali mkuu ila shida kumjua yupi n yupi otherwise [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom