KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

inamaanisha hawa wasanii hawaoni mademu huku tz maana wote wanakimbilia ng'ambo
 
Mmh! Labda hao wasanii wenzie Mkuu ndio tuseme ni wadangaji, sababu wanaoishi maisha nje ya Usanii wapo kibao ambao ni wife material Mkuu.

Na wadangaji hata uko nje ya Tanzania wamejaa tu Mkuu.
nakubali mkuu ila shida kumjua yupi n yupi otherwise [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…