Hahahaaa. Utulivu tu Mkuu na kutokukurupuka hakuna kingine , sababu kiuhalisia hakuna mwenye chata usoni kwamba eti huyu ni wife material.nakubali mkuu ila shida kumjua yupi n yupi otherwise [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mombasa Hatarii,Hv Mombasa ni Kenya?
[emoji106]Mmh! Labda hao wasanii wenzie Mkuu ndio tuseme ni wadangaji, sababu wanaoishi maisha nje ya Usanii wapo kibao ambao ni wife material Mkuu.
Na wadangaji hata uko nje ya Tanzania wamejaa tu Mkuu.
kama zali vileeHongera King, tunamkaribisha Queen ndani ya bongo land.
Ila akakuta hana Marinda!Mombasa Hatarii,
Anaweza mkuta bado Bikra.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yes aoane na Shaka.
bikra ya wapi mkuu zipo mbiliMombasa Hatarii,
Anaweza mkuta bado Bikra.
Mkuu utakuwa umenielewa..bikra ya wapi mkuu zipo mbili
Hiyo ndiyo Mombasa.Ila akakuta hana Marinda!
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 749660
Hv Mombasa ni Kenya?
salaale[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 749660
Bi harusi anakuta nyumba full watoto hata akichelewa kuzaa hakuna pressureKati ya wanawake aliowazalisha wote hakuna aliemfaa kaenda kuolewa ambae hajazaa ,wanaume Mungu anawaoana