Kenya has high unemployment rate in the region

Yale maandamano wakati wa uchaguzi mkuu yalionyesha jinsi tatizo la ukosefu wa kazi ulivyo mkubwa Kenya. Rais Uhuru Kenyatta hatua ya kwanza apambane na Ufisadi kwenye serikali yake.
 
South africa pia has a very high unemployment rate kenya is at 17% south africa is at 29% does it mean that kenya is better than SA??? No. The more economically empowered a country becomes the more youths start wanting better jobs hence wanabagua the casual jobs unapata youths hawafanyi kazi wakingoja white collar jobs hence leading to unemployment being high... in lesser economies youths hawabagui kazi hata jua kali wanafanya hence low unemployment
 
Naingia jukwaa la kenya walau nijue mawili matatu yanayoendelea huko ila nakutana na maada kibao za watu kama nyie mnaanzisha maada za kutambiana flani ivi.

Haya sasa huku tz hali ya ajira vp, tangu kwaka 2015 walimu wengi wakaachwa kuitwa kazini wakimaliza vyuo na hadi leo wengi sana wapo mtaani.

Ajira za walimu zikitangazwa jina moja linachaguliwa mara tatu na mengine ni majina hewa ambayo hayo kwente matokeo ya sekondari.

Hakuna kipindi ambacho ajira zinekuwa ngumu sana kupatikana kama sasa Tz, hali inabadilika maana graduates ni wengi na biashara kibao zinafungwa, kuna ndugu yangu alikuwepo fastjet yupo kitaa baada ya kampuni kufungwa ili air tanzania isipate ushindani mkubwa.

hizi maada zenu hizi, Watz kama nyie mnatuaibisha,
 
Utakuw unatoka Malawi wewe,mwambie ndugu yako apambane na kilimo ,Tz kazi sio Kwenye fast jet tu
 
Utakuw unatoka Malawi wewe,mwambie ndugu yako apambane na kilimo ,Tz kazi sio Kwenye fast jet tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…