Kenya hata siku moja hajawahi ingia akilini mwangu kama nchi..Kenya is zoo full of Monkeys....Nenda Uganda kuna shule Moja inaitwa Uganda Martrys Namugongo...Ulizia kama kuna Mtanzania anaitwa Finda aliwahi pita hapo in 99..mulisaaa njoo usomee shule za Kenya ama Uganda upunguze ujinga wako kama sio ule wa kuzaliwa.
Lete ushahidi kupinga hiyo hoja uliyopewa, sio kujibu kama mtoto wa chekechea, hivi unajua paved roads za Egypt, Tunisia na South Africa?H
Mimi nimeitisha ushahidi wa paved roads.Kama ni 80000 si mngekuwa nambari moja afrika ama top 10.
Naona umeanza kuji jibu🤣😂😂😂😂🤣🤣Wewe bwege kweli kweli.....Kutokuwa na ajira kitu kibaya sana...Akili nayo huacha kufanya kazi....😂😂😂Hebu cheki ya Zimbabwe. Nadhani wako na 800000 na 20% ni surfaced.
Huyo bwege hajawahi kuwa na point...Anajibu hoja kama tupo twitter...Lete ushahidi kupinga hiyo hoja uliyopewa, sio kujibu kama mtoto wa chekechea, hivi unajua paved roads za Egypt, Tunisia na South Africa?
Last time data za mwaka gani...maana hua kuna mkeka wa 2014 ndio kulikua na 7600+kms lakini muda sasa umesogea barabara nyingi zimejengwa tayari..it's possible zimeshafika 12thou kwa mWaka huu
Jipe moyo ....Total ni 85,000km...Utalia sana mwaka huu😂😂😂😂Endelea kuji jibu😂😂😂Poa ila kumbuka kupiga thao ya paved sio mchezo, inachukua hata zaidi ya mwaka. Yaani kama mumejituma sana labda leo hii muwe kwenye 12,000km
Kuna ng'ombe ingine inaitwa joto la jiwe ilileta hiyo tweet kwengine nikaiambia inahitaji kuona daktari ikadhani nabisha tu. Yaani for somebody to believe Tz has 85k paved roads inafanya nishangae kama ushawai ingia darasani.Nimekupa ramani ya barabara zote za Tanzania, hiyo ramani hapo haionyeshi tu barabara zilizo chini ya TANROAD.
Unayo matatizo makubwa kielimu, yaani unataka kumaanisha mumewashinda hata Nigeria kwa paved road, unajua maana ya paved road kweli au unahangaika.
Hehehe eti yaani mumeshinda hadi Morocco, nchi ambayo huwapa nyie misaada.....
Mumeshinda hata Denmark.... Yaani kama kuna Watanzania waliobahatika kwenda shule na wanasoma huu uzi lazima wanahisi aibu ya mwaka.
Wewe lia tu...Mimi source yangu ni total paved roads sio trunk roads..
Only South Africa has more than 85,000km paved roads.Hehehe sasa mleta mada anasema Tanzania has a freaking 85,000km of paved road, hapa Afrika if am not mistaken kuna labda nchi nne zimekidhi urefu huo.
Kuna ng'ombe ingine inaitwa joto la jiwe ilileta hiyo tweet kwengine nikaiambia inahitaji kuona daktari ikadhani nabisha tu. Yaani for somebody to believe Tz has 85k paved roads inafanya nishangae kama ushawai ingia darasani.
Kwa hivo between 2014 na leo mmejenga 77,000km za barabara?Last time data za mwaka gani...maana hua kuna mkeka wa 2014 ndio kulikua na 7600+kms lakini muda sasa umesogea barabara nyingi zimejengwa tayari..it's possible zimeshafika 12thou kwa mWaka huu
12,000 hazijafika. Kama unajua what it takes to construct a kilometre of new road utaelewa Kwa nini nchi kama Tanzania haiwezi jenga 4000km of new roads in 4 years.Zimeshafika 12thou
Hazipungui 10thou12,000 hazijafika. Kama unajua what it takes to construct a kilometre of new road utaelewa Kwa nini nchi kama Tanzania haiwezi jenga 4000km of new roads in 4 years.
Bongo kuna shida.😀Hehehe yaani halafu utashangaa ndio wanategemewa na serikali kuitetea kwenye mitandao, elimu duni balaa.
Ebu mueleze mwenzako aache umburula. Eti 85000km alafu anang'ang'ana kubishana.Hazipungui 10thou
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.. mulisaa umewaweza leo
Find the ratio with Square kilometresTanzania has doubled Kenya in terms of Paved roads..Kenya has 44,100km while Tanzania has 85,000km.. What real went wrong after independence???View attachment 960600View attachment 960601
SEARCH FOR: HOME ROADS Roads Tanzania Roads Road transport is the most widely used form of transport in Tanzania, carrying over 90% of the passengers and 75% of the freight traffic in the country. The number of road passengers in Tanzania rose by 32%, from 8,750 in Q2 2015 to 11,546 in Q2 2016.
The road network in Tanzania currently comprises 86,472 km of roads, of which 12,786 km are trunk roads, 21,105 km are regional roads and the remaining 52,581 km are district, urban and feeder roads.
Why not? Kama Selous GR 54,600 km² ni kubwa zaidi ya Uswissi 41,285 km² na ukubwa wa Denmark 42,924 km² ni kamkoa kwa Tanzania! Tanzania is 945,087 square km!Nimekupa ramani ya barabara zote za Tanzania, hiyo ramani hapo haionyeshi tu barabara zilizo chini ya TANROAD.
Unayo matatizo makubwa kielimu, yaani unataka kumaanisha mumewashinda hata Nigeria kwa paved road, unajua maana ya paved road kweli au unahangaika.
Hehehe eti yaani mumeshinda hadi Morocco, nchi ambayo huwapa nyie misaada.....
Mumeshinda hata Denmark.... Yaani kama kuna Watanzania waliobahatika kwenda shule na wanasoma huu uzi lazima wanahisi aibu ya mwaka.