I know you are a hustler who sells his arse cheaply to highest Arab bidder.My friend me am a hustler since day one....Mimi niliacha kulipiwa school fees nilipofika secondary.......ππππWewe shule ulienda kujifunza ku management ya mboga ili uweze kumalizia kula ugali....πππ
Kiswahili kinawasaidia sana kuficha mapungufu yenu ya elimu, maana kila mnachoandika humu kinaishia kusomwa na watu wa ukanda huu tu.Kutojua kutumia lugha fulani kwa ufasaha na yenyewe ni aibu!!!???
Nyie endeleeni kuamini upuuzi wenu, wanaume tunapiga kazi. Yani Tz imeiacha mbali sana Kenya kwenye vitu kibao. Wakenya ambao wana akili zao wanalitambua hili.Mkifikisha kilomita 10,000km za paved road ndio utakua na jeuri ya kuhoji, japo bado mtakua nyuma yetu tena mbali sana.
Hii pumba umeitoa wapi.? Kitu kama hujui nyamaza kimya sio unabwabwaja hapa upumbavuLast time data za mwaka gani...maana hua kuna mkeka wa 2014 ndio kulikua na 7600+kms lakini muda sasa umesogea barabara nyingi zimejengwa tayari..it's possible zimeshafika 12thou kwa mWaka huu
Pumba nimeitoa mashineni broHii pumba umeitoa wapi.? Kitu kama hujui nyamaza kimya sio unabwabwaja hapa upumbavu
Tatizo wao wanajua Tanroads ndo mjenzi wa barabara pekee Tanzania wakati barabara za miji almost zote zinajengwa na Halmashauri...Hata Jijini Dar es salaam Halmashauri iko na barabara nyingi ukiachana na zile za miradi za DMP ambazo nazo ziko kichini ya ofisi ya mkuu wa mkoa..ππππHaya majamaa ni mapunguani. Waambie nn maana ya hizi agecies na wakishaelewa mwakani na wao wataunda KARURA nafikiri unabishana na Socialogists tu hapa
Kiswahili kinawasaidia sana kuficha mapungufu yenu ya elimu, maana kila mnachoandika humu kinaishia kusomwa na watu wa ukanda huu tu.
Jaribu ujadili mada kama hii kwa kingereza, ianze kusomwa na raia wa mataifa mengine, mtatukanwa sana.
Nyie endeleeni kuamini upuuzi wenu, wanaume tunapiga kazi. Yani Tz imeiacha mbali sana Kenya kwenye vitu kibao. Wakenya ambao wana akili zao wanalitambua hili.
Hadi sasa nyote mmesha poteana...!! Ipitie mada iliyopo juu...πππ Punguzeni kulia....I know you are a hustler who sells his arse cheaply to highest Arab bidder.
Kama mnavyo tukanwa na Nigerians...!πππππππKiswahili kinawasaidia sana kuficha mapungufu yenu ya elimu, maana kila mnachoandika humu kinaishia kusomwa na watu wa ukanda huu tu.
Jaribu ujadili mada kama hii kwa kingereza, ianze kusomwa na raia wa mataifa mengine, mtatukanwa sana.
Wewe unatuletea Data za TANROADS wakati kuna Barabara za Halmashauri, TARURA pamoja naza wakuu wa Mikoa ambazo ziko paved..Kwa mfano mradi wa DMP Dar haupo chini ya Tanroads..!! Halmashauri pia zina barabara zao...Total paved roads in Tanzania is 85,000 km...Wewe lia tu...πππHehehehe!! Nilifikiria utakua na ufahamu, nikafikiria labda unampa mwenzio morale aendelee kujibaraguza, duh kumbe hata wewe unang'ang'ania na kuamini eti TZ ina 85,000km paved. Aki ya nani nyie ni kichekesho mpaka raha.
Nchi yenu ukubwa wake 945,000 square kilometres barabara zenu zote ni urefu wa 87,581km
Hapo ukifanya combination ya paved Trunk Roads, Regional Roads, District Roads,Urban Feeder roads hazijafikia 10,000km
Mnamo mwaka wa 2013 mlikua na total ya 7,611km paved.
Afrika bado mbali sana, yaani nchi kuwa na 85,000km paved halafu bado inatajwa ndani ya maskini wa kutupwa kwenye LDC.....
Hivi unajua ukubwa wa Israel ni 20,770 kmΒ² yaani hata ni ndogo kuliko mkoa wenu wa Arusha lakini wana paved road zaidi ya nchi yenu yote, zaidi ya muungano wenu wa nchi mbili.
View attachment 961264
Leo hii wanyama aende kucheza ligi ya uchina au italy kwake itakuwa aibu sabab hajui lugha yao!???
Mana asa iv ata wazungu wameanza kujifunza kiswahili....point yaako ni ipi hasa labda cjakusoma bado
mulisaaa nimeulizia kwa rafiki yangu juu ya finda akaniambia alikuwa mwanafunzi bongolala kabisa, eti heri wazazi wangepeleka Ng'ombe hiyo shule badala yake finda.
Kuna ng'ombe ingine inaitwa joto la jiwe ilileta hiyo tweet kwengine nikaiambia inahitaji kuona daktari ikadhani nabisha tu. Yaani for somebody to believe Tz has 85k paved roads inafanya nishangae kama ushawai ingia darasani.
Wewe itabidi watu wakupuuze maana aisei unayo matatizo seriously, sijui ulisomea shule gani na nitashangaa kama kuna Mtanzania humu atakusaidia kutetea huu uharo ulioleta
Kasome maana ya paved trunk road and unpaved trunk road...... paved trunk road ambayo unasema iko chini ya TANROAD ni kidogo sana.
Mimi nazungumzia kuhusu paved yote ya Tanzania sijui lini mulifikia 10,000km
Ni mtu ambae hasafiri hii nchi ndio anaweza kupinga kwamba Tanzania haina mitandao mpana wa Barabara za lami kuliko KenyaHazipungui 10thou
Halmashauri zetu tu zinajenga Barabara nyingi za lami kuliko serikali nzima ya KenyaTatizo wao wanajua Tanroads ndo mjenzi wa barabara pekee Tanzania wakati barabara za miji almost zote zinajengwa na Halmashauri...Hata Jijini Dar es salaam Halmashauri iko na barabara nyingi ukiachana na zile za miradi za DMP ambazo nazo ziko kichini ya ofisi ya mkuu wa mkoa..ππππ
Kwa iyo Joachim Chisano alipoongea kiswahili kwenye 'ule mkutano' kumbe alionekana kaongea upupu sio!!!! DahWanyama akiongea upupu kitaani Nairobi kwa lugha ya Kiswahili anakua hana wasiwasi maana inaishia humu humu, yaani anaweza hata kutaniana na madogo na kuitana maneno ya kise.nge, lakini akiwa kwenye jukwa la kimataifa na kutumia lugha ya kingereza inayofahamika na wengi kimataifa, inabidi awe makini kila kinachomtoka mdomoni lazima ashirikishe ubongo.
Ndivyo ilivyo humu, mnatiririka chochote maana mnajua inaishia kusomwa na kueleweka na watu wachache wa ukanda huu, hivyo hata ukiandika upupu unaodhihirisha ulivyo zwazwa utaishia kuchekwa na wachache tu.
Huyo jamaa unayejadili nae yuko na thread zaidi ya kumi zote zina zero reply...nyingine vews chini ya 50....Hajui kuwa hata kingereza sio lugha inayo ongoza kuzungumzwa Duniani...πππNchi za Asia na maendeleo yake hazizungumzi kingereza..Mwambie aende Germany, Russia na France kusoma na kingereza chake aone watamwambia nini...ππππLeo hii wanyama aende kucheza ligi ya uchina au italy kwake itakuwa aibu sabab hajui lugha yao!???
Mana asa iv ata wazungu wameanza kujifunza kiswahili....point yaako ni ipi hasa labda cjakusoma bado
Huyo jamaa unayejadili nae yuko na thread zaidi ya kumi zote zina zero reply...nyingine vews chini ya 50....Hajui kuwa hata kingereza sio lugha inayo ongoza kuzungumzwa Duniani...πππNchi za Asia na maendeleo yake hazizungumzi kingereza..Mwambie aende Germany, Russia na France kusoma na kingereza chake aone watamwambia nini...ππππLeo hii wanyama aende kucheza ligi ya uchina au italy kwake itakuwa aibu sabab hajui lugha yao!???
Mana asa iv ata wazungu wameanza kujifunza kiswahili....point yaako ni ipi hasa labda cjakusoma bado
Acha kua kama kenge ww, leta taarifa za paved road sio mtandao wa barabara Za vumbi hapa,izo 86thou ndio classified road but mada mezani ni zilizosurfaced pekee !!zikizidi sana ni 12thou muda mwingine sio unakuja kutukana watu hapa bila sababu za msingiNi mtu ambae hasafiri hii nchi ndio anaweza kupinga kwamba Tanzania haina mitandao mpana wa Barabara za lami kuliko Kenya
Especially to you tuusan, nikuulize tu swali, ulishawahi kusafiri kutoka Karagwe Kagera mpakani pale mwa Uganda Mtukula mpaka Mtwara Mikindani? Kote huko ni lami tupu sasa piga hesabu ni kilometers ngapi?
Je
Ulishawahi kusafiri kutoka mpakani Sirari Mara mpaka Tunduma mpaka na Zambia? Unajua ni kilometers ngapi zile za lami?
Siongelei mipaka mingine na mikoa mingine mingi ya pembezoni ambayo 90% imeungwa na lami,
Vipi kuhusu lami za kwenye mikoa? Regional roads? Halmashauri? Tanzania ilishaipita Kenya kwa lami tena sio Kenya tu bali Kenya ukiijumlisha na Uganda kwa pamoja tulishawapita hata kabla JPM hajaingia madarakani
FYI saivi tu kuna zaidi ya 15,000 fresh kilometers of tarmac roads are under construction countrywide
Thats fact mkubali au mkatae hamlazimishwi View attachment 961298
Wewe huwa unashilikisha ubongo unapo post thread zenye zero replies??ππWanyama akiongea upupu kitaani Nairobi kwa lugha ya Kiswahili anakua hana wasiwasi maana inaishia humu humu, yaani anaweza hata kutaniana na madogo na kuitana maneno ya kise.nge, lakini akiwa kwenye jukwa la kimataifa na kutumia lugha ya kingereza inayofahamika na wengi kimataifa, inabidi awe makini kila kinachomtoka mdomoni lazima ashirikishe ubongo.
Ndivyo ilivyo humu, mnatiririka chochote maana mnajua inaishia kusomwa na kueleweka na watu wachache wa ukanda huu, hivyo hata ukiandika upupu unaodhihirisha ulivyo zwazwa utaishia kuchekwa na wachache tu.
Sababu akili yako finyu nilitegemea ingefanya simple research ya hizo Barabara za lami nilizokutajia and by the way siwezi argue na wewe 24/7 upo ndani kama battery so keep believing on what your short sight gives you.Acha kua kama kenge ww, leta taarifa za paved road sio mtandao wa barabara Za vumbi hapa,izo 86thou ndio classified road but mada mezani ni zilizosurfaced pekee !!zikizidi sana ni 12thou muda mwingine sio unakuja kutukana watu hapa bila sababu za msingi