Kenya has the worst education system in East Africa....πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Status
Not open for further replies.
kitu pekee mkenya anaenda kujifunza shule ni kujua kuzungumza/kuandika lugha ya kingereza sio kuchota maarifa.

mfano mdogo ni visa vya majengo kuporomoka, ni vingi sana mpaka unajiuliza hao waandisi majenzi wao vyuoni huwa wanaenda kusomea ujinga?.
 
Zero brainsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeskia hamjui hesabu, calculate 1+1 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa umewachokonoa vzur kinoma yan pale paleeeee......ingawa uzi umeuleta ukiwa mifupa mitupu
 
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• Matusi ya wanafunzi ambao wamemaliza kidato cha nne hivi majuzi na sasa wanajiona majogoo flani ndio inamaanisha nini? Nadhani elimu yako wewe haukuifikisha darasa la nne, maximum.
 
PovuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kaa na tissue pembeniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuambie
2 x 2 =
4 + 6 =
5 - 4 =

i know this is very very difficult but try

1 x 1 and 1 + 1 which value is greater?
Hivi huyu ni engineer.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…