Wanajitekenya na kuchekea wenyewe. Hata ukipita pita Kenya na Tanzania kwenye masuala ya afya wala hawatutushi sana. In fact **** maeneo mengine tunaweza kuchukuwa kombe ukiangalia kwenye upatikanji wa bima kwa wanachi wa kipato cha chini au idadi ya watoto wanaolala kwenye vyandarua vinavyozuia mbu mpaka kwenye lishe tuko mbele.Umemaliza mkuu, ata Tz iko above regional average. Hiyo habari ya NMG heading ni Kenya iko above regional average halafu hawajaitaja TZ kokote kwakua tupo juu
Hahahaaaa
Mbavu zangu jamani taratibu tafadhariNaona mna witch doctors 75,000 na madaktari hata hawafiki 3000...Hahahahahahahahahaha. Thousands of witch doctors registered in Tanzania, where witchcraft is a part of everyday life
Kumaliza Haya yote hebu tupe Doctor to population ratio kati y Kenya na Tanzania
Daily deaths per 1000 population Kenya 474, Tanzania 511
Alafu hapo pa death due to injuries, inakuaje Watanzania wengi wanakufa kwa injury kuliko Kenya na huku kenya tuna deal na alshabaab, cattle rustling deaths, mauaji ya kikabila...Roberry with violence, police extra judicial killings, politically instigated assassinations etc
Vile mko desperate mpaka mnapitiliza. Sijuwi niwahesabu wake wacuba, kama wakenya au sio wakenya?Kumaliza Haya yote hebu tupe Doctor to population ratio kati y Kenya na Tanzania
Nashuku sana hutaweka ila ningependa sana uwekeke to settle this matter once and for all.
Surgical blades lol ati knivesLol...Annael...Ni nini hapo Kenya haifanyi. Cardiac operation, brain surgery, kidney transplat(sio transportation) are all done in Kenya. Did you know we even separated Siamese twins at a public hospital ..lol
Kenyan pharmaceuticals export almost 70% of all medicine in East Africa. Hata kwenye hiyo LDC yenu. Dawa twawauzia, vyombo vya operation mwanunua kenya hata surgical knives...lol..
Ama ulikua unafikiri tunaongea kuhusu matibabu ya mitishamba...lol. Hiyo mmetushinda kabisa.
Nilijua huwezi weka ukweli, hapo nilikukamata.Vile mko desperate mpaka mnapitiliza. Sijuwi niwahesabu wake wacuba, kama wakenya au sio wakenya?
Na wewe jaribu utupe data ya low income families health insurance coverage ya huko kwenu.
This is so sad, whatever the difference ya Tanzania na Kenya you have, put it in percentage what I'm talking about.
Death due injuries it goes hand in hand with low rate of unemployment. Watu wetu wengi wanapata matatizo while at work farming etc. Sio kama huko kwenu wanapoteza maisha due to extra judicial killing huku wakiwa jobless.
Mbona unachagua indicator unayoipenda, hebu leta namba ya cardiac surgeries zinazofanyika katika public hospitals per yearKumaliza Haya yote hebu tupe Doctor to population ratio kati y Kenya na Tanzania
Nashuku sana hutaweka ila ningependa sana uwekeke to settle this matter once and for all.