Kenya High Speed SGR Train on a Journey

Daraja linalojengwa na china kwenye reli mpya standard gauge ambayo mda si mrefu itaanza train ya mizigo itasafirisha mizigo!
 
Very beautiful and congrats to the Chinese for a job well executed. I saw somewhere in tz magufuli impounding passport of some project contractor. Wapi passport. Ichukue sasa hivi. When you see that, you appreciate the workmanship of the Chinese. Just on time.
 
Wakenya mkimtupa Kenyatta, kwa sababu ya ukabila, mnataka kuwa kama Tz kimaendeleo. Kenyatta ameibadili Kenya kwa uwekezaji mkubwa ambao haujawahi fanyika toka Kenya ipate Uhuru.

Ningekua naruhusiwa , ningekuja nimpigia kura Kenyatta.
 
Kweli huyu kijana noma sana kwa maendeleo
 
Wakenya mkimtupa Kenyatta, kwa sababu ya ukabila, mnataka kuwa kama Tz kimaendeleo. Kenyatta ameibadili Kenya kwa uwekezaji mkubwa ambao haujawahi fanyika toka Kenya ipate Uhuru.

Ningekua naruhusiwa , ningekuja nimpigia kura Kenyatta.
Enda mbali na hiyo ujinga yako Kutoa Kenyatta Haina uhusuano wowote na Ukabila kalisha propaganda mazense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…