Kenya High Speed SGR Train on a Journey

A mortgage requires that the property is used as the collateral, in this case if we default on our loan payment, we are penalized by being fined some amount of money.
 
Hayo ni macho ama vidonda?
Huoni hizo Ilivyo sophisticated ?
I see a case of a Nokia 1100 comparing a Samsung s4 and Samsung s7 edge!
it's inevitable it will orgasm touching either phone, sema s7 will just last a Lil longer.
 
UPGRADED ...
Wanjala wacha kuanika upumbavu wako hapa, huko shule ulienda kusomea ujinga?

HHhh! Naona unaniota, si mimi niliandika, hata hivyo hujaelewa, alimaanisha kuupgrade lines, wewe umechukulia kama kuupgrade engines, waona mahali unapotelea??

Lines ama tracks za Kenya ni Grade 1 and can be used by any type of engine even bullet trains, apart from the levitation and Vactracks or hyperloops
 
Hayo ni macho ama vidonda?
Huoni hizo Ilivyo sophisticated ?

Yako ndio madude tupu, sioni kilicho kwenye hizo zingine kimekosa kwenye hii ya Kenya, macho yako yanaona unachotaka kuona! Hapa mwanzo we mbishi bure, huna pointi
 
Test Run Result:
Departure from Nairobi South Terminal @9:30am
Arrival at Mtito Andei Station @11:30am.
Mtito Andei Intermediate station is the midpoint of the 472 kilometre SGR line.
 
Test Run Result:
Departure from Nairobi South Terminal @9:30am
Arrival at Mtito Andei Station @11:30am.
Mtito Andei Intermediate station is the midpoint of the 472 kilometre SGR line.

That is 2hs 5min? Meaning if it is express Nairobi Mombasa, it will take not more than 4hrs 10 mins,

And that will be the growth of this intermediate stations, imagine living cheaply in Mtito Andei and working in Nairobi,

Saa kumi na moja asubuhi, unapanda, saa mbili umefika kazini!!! Safi sana

 

Jesus Just come down and see our SGR....... Awesome
 
Mnaosema diesel engine na umeme vinafanya kazi sawa ,basi nawaambia tembeeni kwa speed ya 240km/hr na hilo treni lenu.

Electric engine inamudu speed kubwa kuzidi diesel kwa hyo kuna mali adhimu umeiokoa ambayo ni MUDA.
 
Mnaosema diesel engine na umeme vinafanya kazi sawa ,basi nawaambia tembeeni kwa speed ya 240km/hr na hilo treni lenu.

Electric engine inamudu speed kubwa kuzidi diesel kwa hyo kuna mali adhimu umeiokoa ambayo ni MUDA.
Hiyo yenu ya stima itaenda kwa average ya 160km/hr, yetu inaenda kwa average ya 120km/hr, tofauti ni ndogo sana kwa Kuokoa muda... pia inatumia stima ambayo kama hauna ya kutosha basi itabidi hiyo stima umnyime mwanabiashara ili uitumie kuendesha treni...

Kumbuka kenya ina stima nyingi kuliko Tanzania na hizi ndivyo ilivyo amuliwa kenya


Yetu tuliamua tutaweka stima 2020 ambapo tutakua na ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…