Kenya hizi number plate zenu mnanitutia aibu Afrika Mashariki

Kenya hizi number plate zenu mnanitutia aibu Afrika Mashariki

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Number kama zimeandikwa na mtoto wa kindergarten!!? Nipo hapa Kawe roundabout naongozana na Gari ya huko kwenu, nimeona aibu mimi Mtanzania kwa niaba yenu.

Ona hapo number plate ya Tz.

Way forward
- Tutawaazima kampuni iwapee vimbao mbora

20230308_182618.jpg
20230308_182658.jpg
 
Kama Samia ndo anakutana na nyuzi kama hizi kwa 'home of great thinkers' basi atakua anatuona wa tz mabwege sana, sijaelewa hata mantiki ya huu uzi
Mkuu punguza ufarisayo.

Mama anakuja humu kusoma hoja konki na pia kutoa loki yaani kupunguza stress za protokali kali zinazombana...
 
Back
Top Bottom