Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Hakuna cha katiba bora, yote hiyo ni takataka 🚮🚮🚮Hujui viongozi wa serikali ya Kenya ni mafisadi wakubwa. Pamoja na Demokrasia na katiba nzuri Kenya iliyonayo bado mnachagua viongozi wabovu kama Gavana Joho, Sonko, Waiguru etc wakati Kenya Ina wasomi wazuri na sio corrupt.
...and the devil for us all!Corruption is the main meal , hii game ni ya everyone for himself