Kenya: Huduma za kijamii ikiwemo Baa hazitoi huduma kwa wasiopata chanjo

Kenya: Huduma za kijamii ikiwemo Baa hazitoi huduma kwa wasiopata chanjo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Jumuiya ya wamiliki wa Baa, Hoteli na Maduka ya Vileo (BAHLITA) wamekubali muongozo wa serikali wa kutotoa huduma kwa wasiokuwa na uthibitisho kuwa wamepata chanjo

BAHLITA walipokea ujumbe kutoka Wizara ya Afya ikiwataka kutotoa huduma kwa mtu asiye na cheti cha kupata chanjo hivyo hawapingana na serikali

Aidha, uthibitisho wa kupata chanjo utahitajika kwenye usafiri wa umma, Hifadhi za Taifa na huduma nyingine za kijamii

#JamiiForums #UVIKO3
 
Back
Top Bottom