BrainPower
Senior Member
- May 19, 2009
- 146
- 1
Daily Nation:*- News*|Kenya ICT firm wins Sh80m Nokia award
Tunahitaji industry yetu ya I.T ifikie hapa na zaidi sasa. Tuwe na Software Developers, software architects, network engineers , programmers , system analysts , integrators.
Na kazi zote tuzifanye inhouse, instead of outsourcing them and purchasing of the shelve softwares.
Lakini kama ni kweli - dada yangu mmoja anasoma D.I.T na anasema wamekatiwa internet mwezi wa nne sasa (this was in July).. We have a long way
Nitawajengea Kiwanja cha ndege .............. (ndege zenyewe ziko juu ya mawe. Anyway hata kunguru ni ndege)
Nitawanunulia meli ..........................
Nitajenga barabara za kupita juu ................
Nitatoa laptop shule zote za msingi ............... ( laptop bila umeme ?? Hiyo utaipata Tanzania tu)
Ari Zaidi Kasi Zaidi Nguvu Zaidi ...........................
Maisha Bora kwa kila mtanzania ...........................
All in vein............. And that is what we know
SAHAU KUHUSU I.T. HAPA NI USANII KWA KWENDA MBELE
KUMBUKA IT YA BONGO IPO CHINI YA WAHINDI.
TIZAMA HIYO $100000 CHEQUE. WAMESHIKA WAKENYA(WAAFRIKA).
nokia award kwa copy and paste
andika vizuri wewe mkimbizi wa nchi yenu wenyewe.....Hehehe.
Wivu na upumbavu umeadhiri washiriki wengi wa hizi gumzo