Kenya identifies sites for nuclear power plant

Kweli wanastahili pongezi.

Screen-shots of both renders and the site from citizen and NTV videos:







sipati picha kitu kama hicho hapo juu kikajengwa pande za ubungo na tazara,ni kuteleza tu gongolamboto-posta dakika ishirini inawezekana kimara posta hivyo hivyo
 
Sisi viongozi wetu wako busy kuiba hata hawafikirii wakistaafu watapitaje mitaani!

Wapite huko mitaani kutafuta nini?
Wakistaafu watakuwa busy kufanya world tours na ikiwalazimu sana kukaa bongo basi wataishia Masaki na kwenye Mahoteli ya kifahari..
Mtaani utabaki wewe tu, na mimi......
 
Hongereni wakenya sisi watz tutabakia na propaganda pamoja na intelijensia poor Tanzania
 

Mkuu nakubaliana nawewe, pia hawana Uranium.. South Africa wameweza kwakuwa wanayo Uranium, Miundombinu, pesa, usalama, na utalaam wa kutosha. Kenya hawana vyote hivyo...

Kwanza ukiangalia huo bado ni mradi mdogo ukilinganisha na hii:

Mchuchuma ($3 Billion): (Coal)
allAfrica.com: Tanzania: TZ-China in Sh4 Trillion Mchuchuma Talks

Stiegler gorge ($ 2.2 Billion)πŸ™Hydro)
International Rivers: Tanzania: Brazil to build Stiegler's Gorge

Haya bado kuna mingine midogomidogo:
NSSF-Songosongo (Gas)
allAfrica.com: Tanzania: NSSF Set to Pour Funds in Electricity Generation

SinoTan-Makambako (Wind)
Tanzania To Harness Wind Power To Ease Electricity Shortage-Paper

Chae's group-Singida (Wind)
Tanzania - 210-megawatt wind energy farm to be built in the Singida region, 2009-03-25 | www.windfair.net news

Na bado hatujajua hawa waRusi wa ROSATAM (tafadhali sio Rostam) kama wanaweza pia kujenga kinu cha umeme wa nyuklia hapa:
Rosatom Agrees to Buy Mantra for $1.2 Billion to Gain Uranium in Tanzania

Kwasababu wabunge wa CCM Dodoma walishaamua toka 2003 wakishindwa 2015 CDM watatekeleza hii kitu:
Tanzania turns to nuclear power - SciDev.Net

allAfrica.com: Tanzania: Dar to Go Nuclear with Uranium Mining

Tanzania pins its hopes on nuclear power generation

Au hawa makaburu:

allAfrica.com: Tanzania: SA Firm Pitches to Build Dar Nuclear Power Plant


Kwa kifupi ni Tanzania ndio itakuwa ya kwanza kuwa na umeme wa nyuklia katika Jumuia ya Afrika Mashariki na si nchi nyingine yeyote jirani (Ukiondoa DRC)...
 

Hiyo miradi yote inategemea time frame yake ya utekelezaji mkuu, pengine tusiwe wa kwanza maana tuna usiri mkubwa kwenye miradi yenye manufaa kuliko ya ufisadi.
 
Hii kitu hawana uwezo huo kwa sasa lakini sio vibaya kuongelea.
 

.......kwa story kama hizi ndio maana mnachakachuliwa
 
Hiyo miradi yote inategemea time frame yake ya utekelezaji mkuu, pengine tusiwe wa kwanza maana tuna usiri mkubwa kwenye miradi yenye manufaa kuliko ya ufisadi.

...Pengine, lakini pengine (pengine hii ni kubwa kuliko ile pengine ya awali) pia tunaweza kuwa wakwanza kwa kuwa sisi tutayari tuna hiyo mikakati na pia tunazo resources zote zinazohitajika. Haya mambo yako tayari kumbuka juzi tu (wiki iliyopita) mkuu wa Rosatom alikuja kimya kimya kumtembelea Mkwere.

BTW: Rosatom ni miongoni mwa kampuni zinazo-ongoza duniani kwa kutengeneza vinu vya umeme wa nyuklia tazama hapa:
Rosatom aims to sell more reactors: Voice of Russia
 
Kuna ukweli kuwa somalia ina deposits ya uranium. Hili la kujenga kinu naona ikitekelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…