Kenya ilikosewa, maendeleo yake yana limitations!

Teh mujisafishe kwanza kama vile hakuna mtu hajui maisha ya huko
 
yaani leo ndo nimejua watanzania hawatawai elewea wakenya.

mwanzo if anything, siku mmoja hii mambo ya negative ethnicity itakuja isha, hapa kenya we are diverse,multi-ethnic, multicultured, na hakuna siku ambayo ntataka kuona wakenya wanawacha mila zao ili eti waungane, hio itakua siku ya kuhuzynisha sana duniani mwangu.... mimi nataka wakenya wastaarabike na waungane lakini si lazma wawe sawa ki mila, kama wasemavyo, muacha mila ni mtumwa....... hata kama unaongea lugha ya kiswahili, bado we mtumwa kwa kuacha mila, mtumwa kwa aliewaambia muache mila au mtumwa wa amani, na haijalishi mko na amani kiasi ghani na nimangapi mtafanya kwa ajili ya amani, lakini mtu kama mimi siwezi kubali amani ya hivyo.. sisi ni binadamu, tulizaliwa na akili kubwa, tulizaliwa tofauti, wengine walizaliwa bubu,wengine vipofu, wengine warefu, wengune wafupi, wengine walizaliwa wanawake wengine wanaume, wengine wanawake lakini wako na biungo vya wanaume (jikedume) hatuhitaji tuwe sawa ndo tuwe binadamu wamoja, ukiona mlemavu na we uko sawa, unajaribu kujadiliana naye kana kwamba nyote mko kiwango sawa, ukiona mtu hajasoma na haelewi, unaongea naye kwa njia ambayo ni rahisi kuelewa,..... lakini kamwe sitawahi omba mtu ajifanye mlemavu ili aonge na mlemavu...

yani nachosema ni...... nchi si watu wanaongea lugha moja, nchi si watu wa rangi moja, nchi si watu wa mila moja.......... nchi ni watu wapendao nchi yao, watu ambao watu wenye malengo sawa ya nchi yao moyoni, nchi ya watu wenye matakwa sawa, uwe muarabu, muislamu,mkristo,mgujerati, mkikuyu,mkalenjin, mbukusu,.... bora sote tunaimani kwa ndoto ya kenya, sisi sote ni watu wamoja mwisho wa siku, hata kama tutangea lugha tofauti, bora tutaelewana kwa njia moja au nyengine....
angalieni churchill show muone vile wakenya wako united wakiongelea makabila zao.... that is the real kenya that we envision
 
So Raila is the cause of tribalism in Kenya? Wow.

I have never been a Raila fan but your assertions are absurd.

Kuna matatizo ya Ukabila katika nchi yetu, lakini Raila ndiye Kiberiti. ni kama tu Machar na South Sudan.

Ukabila si ugonjwa wa wananchi. Ni Ugonjwa wa wale waojiita viongozi. Na Raila ndiye tatizo kubwa katika taifa letu. Ni balaa tupu.

Watu waTanzania wangekuwa na mtu kama Raila, wangekuwa wakililia chooni.
 

Kuna jambo ambalo huelewi. Ukabila na Kupenda kabila lako ni tofauti. Hivi sasa, nataka niunde website itakayofundisha watu lugha yangu ya mama. Baada ya hapo, hiyo website itatafuta Wakikuyu, Wajaluo, wakalenjin wote ili waweke lugha zao hapo. Ningekuwa na uwezo, ningeidhinisha Kiswahili cha Mvita kiwe lugha rasmi ya Kenya. Lugha hiyo iko na maneno memngi ya Kibantu ukilinganisha na lahaja ya Ugunja ambayo ni Kiarabu tupu.
 

Kuna mengi ambayo umesema hapo na kuna mengine ambayo umekosea.

Kuhusu ethnic conflict, Jamii za kibantu huwa hazipigani sana siku hizi kwasababu hao ni wakulima. Hata hivyo, mnahitaji mtu tu mmoja aje alete ukabila katifa taifa lenu. Si vigumu kama unavyofikiria mkuu. Ingawa nampenda Nyerere, sikupenda jinsi alivyoua makabila kule kwenu.

Ngugi wa Thiong'o amabye ni mwandishi aliyesikika dunia nzima, huandika vitabu vyake katika lugha ya Kikuyu. Chuo Kikuu kule Yale kinafundisha lugha ya Kikuyu. Ingawa mimi si mkikuyu, ninasherehekea jambo hili.

Timu ya Riadha Kenya karibu yote (asilimia 95) huwa ni la Wakalenjin. Makabila mengine yote yanang'ang'ania ile 5%. Lakini usimwone MK254, Mkikuyu, akidai jinsi Kenya inasonga mbele. Timu ya Raga huwa ni Wajaluo na Waluhya tupu. Sisi wote husherehekea.

Ukabila si ugonjwa wa wananchi. Ni ugonjwa wa viongozi.
 

Acha kuwaombea wenzako mabaya, Wakenya ni Ndugu zetu. Mimi elimu ya msingi nimesoma Kenya na kubahati kushi huko kwa kuwa nina ndugu huko, mipaka ya Kikoloni iligawa Kenya na Tanzania bila kujali jamii zilizokuwa mipakani zinavyohusiana, unashangaa watu wa familia (Babu mmoja) walihawanywa wengine wako Tanzania na wengine wako Kenya, shughuli za kijamii katika shida na raha kama vile arusi, misiba na n.k tuko pamoja. Ninachofahamu ni kwamba nchi ya Kenya iko mbele kimaendeleo, nenda Nairobi uone watu walivyo na pesa, majumba yanvavyojenga, angalia watu wanavyotembea kwa haraka barabarani wakiwa katika maeneo yao ya kazi; rudi hapo Dar uone mnavyotembea kizembe, mnavyopoteza muda kucheza pool siku nzima, hala unarudi kula nyumbani bila kuzalisha kitu !! Wacha wewe kuombea wenzako mabaya, rekebisha ya kwako. Sawa ni kweli hao watu wana vituo vya runinga vya kikabila, hata shuleni tulikuwa tunafundishwa lugha ya Mama katika madarasa ya awali, je, unawazidi nini katika maendeleo ??
 
Huu mjadala poa lakini nsona kuna mambo hayajakaa sawa!!!

Umesema kwa ujasiri ... "Hakuna nchi iliyowahi kupenya hapo ..."

Umewahi kusoma historia ya Uswiss au Ubelgiji? Hebu isingalie alafu tuendelee

Ninaona kama kuna jambo fulani hspa ambalo linazidi UKenya au UTz. Take it to Reginal Integration and beyond. Majibu hapo yatakuwaje?
 
Could you kindly explain how Raila is the sole cause of tribalism in Kenya? Coz from my perspective ni watu wengi sana wakubwa na nitakueleza ukishanifafanulia msimamo wako.
 
Could you kindly explain how Raila is the sole cause of tribalism in Kenya? Coz from my perspective ni watu wengi sana wakubwa na nitakueleza ukishanifafanulia msimamo wako.

Sijasema Kuwa Raila is the sole cause of Tribalism. Nimesema kuwa Tribalism ni ugonjwa wa viongozi na Raila ndiye epitome of that doctrine.

Tatizo la Raila ni kuwa yeye huwa na politics of Brinkmanship. Anapenda nchi iwe in a crisis wakati wote ndiposa ajifanye kiongozi. Hata wetangula naye anakaa keshaanza upumbavu huo.
 

You are no different from the other tribalists if that's how you view things. See, Raila supporters who are tribalists will justify their hate for Uhuru and his supporters by absurd claims like, 'Uhuru is the reason Kenya is so tribal' just in a similar fashion you claim Raila is the problem. If we were to go back in history you'll realize that the only person who had the power to stop tribalism was Kenyatta Sr but he instead encouraged it. All that said and done, I honestly believe Raila is one of the least tribal politicians in this country. Let's stop blaming each other and do what's right. The 'they're bad and tribal and we are not' mantra is the biggest cause of tribalism in the first place and from my experience - the people who go around blaming somebody from the other side of the divide for the situation are the biggest tribalists ever.
 
ouch! and i had all along thought u had something between your ears. dah typical mungiki..
 
wewe upo kwa group ya silent majority, ambayo inaelewa umuhimu wa uhusiano mzuri baina ya kenya na Tz. ila tuna louder minority ambayo yafanya kile kibaya wanachosema kionekane ni kama waTz wote wanakikubali. nimekupa heshma mkuu kwa kuyasema yalivyo...big up bro na unapofika pale Nrb, nijulishe ili tule nyama choma kwenye tusker baridi tukijadili mengi kuhusu biz na kuunda mkwanja
 

You had first painted Raila as a the poster-child of tribalism in in Kenya in your comment here, in support of Dhuks senseless comment

And now, upon being confronted over ur argument, u turn around to state that u meant that Raila is the man who creates crises in Kenya, which he capitalizes on for his political advancements. Do u then realize the contradictions in your arguments? Just bcos he spawns all these crises for his political ends, does that make him a tribalist? Does he preach hatred btwn tribes? Those two are very different things.

Raila is not the epitome of tribalism in Kenya, it exists in all us, and all our leaders merely capitalize on them for their own goals in politics. It is a problem that had begun long before Raila had indeed gained any foothold in politics.

Raila has no hand in Kikuyu Kalenjin enmity over land or Kikuyus vs masais or the cushites vs bantus, luo vs Kalenjins, or the bitter rivalries btwn tribes in the coastal regions etc. This is a problem we Kenyans must face and resolve with an open mind, not by laying the blame on one individual or group.
 

Nitarudia kwa kusema kuwa Raila ndiye Kiberiti. Kiberiti hakiwezi kufanya chochote hadi kuni iwepo. Hata Tanzania ina kuni, Ingawa kuni yao si nyingi kama yetu. kile wanachokosa ni viberiti. Hilo sote twalijua.

Kwangu mie, sina ukabila. Sina shida na kumpa mtu yeyote uongozi. Hata awe mzungu, sina shida.
 

One Big fat lie. ALL the Presidents in the country have had the chance to fight tribalism but they have not been as enthusiastic as they should. Moi had the opportunity to fight it but he stuffed all major parastatals with his tribesmen. Kibaki the same. Uhuru's case seems to be different. He seems to rather incompetent rather than being evil minded.

As for Raila being the least Tribalist, safe journey. We all know was saying "Msiue wakisii, hao walitupigia kura." What about those who didn't vote for him?

I Supported Raila in 2007. Biggest mistake in my political choice ever.
 
My question then, how has he spread the tribal animosity in Kenya? Has ever preached hatred against any community? Has he ever ever orchestrated violence targeting any particular tribe?
 
poor kenyans...
Rich Kenyans !! Bado sijaona ni kwa nini tunawalaum ndugu zetu Wakenya kwa kiasi hiki, mimi binafsi ni ndugu zangu Kenya na nimesomea Kenya elimu ya Msingi, hawa watu wana uzalendo sana na nchi yao kitu ambacho ni tofauti na nchi nyingine. Ukiigusa Kenya, wanaondoa tofauti zao na kukushambulia wewe, sio rahisi hicho kitu kinachohusu ukabila kikavunja umoja wao katika ngazi ya Kimataifa, angalia hata michezoni - riadha n.k wanashiriki kama Kenya sio kabila wala Ukanda fulani, angalia maendeleo yao hata barabara, watu wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kutoka Tz wamekuwa wakitumia barabara za kenya muda mrefu kwenda Nairobi, angalia kule Rorya na Tarime - Cement, mabati, sukari, nondo, sabuni mafuta ya kupikia vyote vyatoka Kenya. Watanzania ndio wanabaguana nje ya nchi, hao wakenya wakiwa nje ya nchi wanavaa nguo zenye rangi ya bendera ya nchi yao, ni vizuri Watz tukajifunza mazuri kutoka kwao kama vile kufanya kazi kwa bidii, kutumia fursa yoyote inayojitokeza nje ya nchi na kurudi kuwekeza kwetu na kuipenda nchi yetu, yale mabaya tuwaachie wayashughulike wenyewe, maana dawa yake wanayo wenyewe.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…