Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Wiki iliyopita Somalia iliamua kufurusha Balozi wa Kenya nchini humo kwa madai kuwa Kenya ina interfere na siasa ya Somalia. Sasa kwa sababu Somalia ndio wamelianzisha basi sisi tunalipiza tu mapigo.
Sasa Kenya imealika President wa Somaliland kuja Kenya on a state visit. Hakuna nchi yoyote inayotambua Somaliland kwa hivyo rais wa Somaliland kualikwa rasmi na Kenya ni message nzito sana kwa Somalia.