Kenya imeamua Somalia ikimwaga mboga basi Kenya itamwaga Ugali

Sisi tutakata njia zinazowaletea chakula, kamwe hatutotumia risasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutaagiza vyakula kutoka Mexico. Rudi kalime kama bado fursa ipo.
 
Somalia ni huru wa kenya mtambue ilo, intelijensia yao kama imeona kenya mna ingilia maslai yao bac mkae chini mtatue changamoto
 
Tutaagiza vyakula kutoka Mexico. Rudi kalime kama bado fursa ipo.
Tutashambulia meli zote zitakazoingia bandari ya Mombasa au Lamu, tunazo ndege zitaruka kutokea Pemba na Tanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majilani tunawakera kidogo,acha tuwakereeee.Na jaribu ku zoom ugomvi utakavyokuw ,jinsi kunya watakavyo chachafya na alshabab.nabaki nacheka hiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…