Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Invasion spp which later will turn into mass destructionUpande wa pili wa hasara wa hivyo vijidudu ni nini?
Wakishiba wanageuka kuwa aliens 😎Upande wa pili wa hasara wa hivyo vijidudu ni nini?
Je hawana madhara kama wakikosa plastic?View attachment 3153179
Wana sayansi toka nchi ya kenya wameweza kugundua vijidudu wadogo wadogo ambavyo vinaweza kuharibu polystyrene, plastiki yoyote kwa usaidizi wa bakteria wa tumboni.
View attachment 3153180
Madaktari hao wamegundua njia hiyo ili kuweza ku control mifumo ya kudhibiti taka za plastiki kwenye jamii ya watu wa Kenya, hii ndo mara ya kwanza kwa mdudu asilia barani Afrika kupatikana akivunja vunja Plastiki na kuzila.
View attachment 3153181
Timu kutoka katika kituo cha kimataifa cha physiology na Ecology ya wadudu nchini Kenya inatarajia kutenga vijidudu na vimengenywa kadhaa kuweza kuendelea shughuli ya kupunguza taka za plastiki.
.kuu wanasayansi wanahatati. Nimeona .ja uou tube wanasayansi wame clone flami go na chicken. Ndege alietoka hapo sojuo kama hatatutafuna. Tunaunda vitu vitakavyokuja kutugeuka.Je hawana madhara kama wakikosa plastic?
Vitu vingi si vya asilia na unavitumia ikiwemo strawberries, viazi vitamu si vitu asilia hivyo.kuu wanasayansi wanahatati. Nimeona .ja uou tube wanasayansi wame clone flami go na chicken. Ndege alietoka hapo sojuo kama hatatutafuna. Tunaunda vitu vitakavyokuja kutugeuka.