Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Wale malazy wanaopenda kuropokwa kwamba Wakenya wana roho mbaya na kwamba hatusaidii majirani, nataka leo mtazame hapa muone jinsi nchi yetu ndio kimbilio la wakimbizi kutoka Sudan Kusini na Somalia. Kenya na Uganda ndio nchi zinazopokea wakimbizi wengi Africa. Watanzania nyie ndio mna roho mbaya.
Halafu kumbe nchi za kiarabu ndizo zinapokea wakimbizi wengi duniani. Mimi nilidhani kwamba nchi za kiafrika ndizo zinapokea wakimbizi wengi zaidi. Hio ni kumaanisha kwamba waarabu wanapigana hata kushinda waafrika. Halafu nchi inayoitwa Jordan ni kanchi kadogo ila kanapokea wakimbizi wengi sana nadhani kutoka Palestine. Turkey nao wanapokea wakimbizi wengi kutoka Syria.
Hapa Tanzania hawapo kwenye list ya nchi zinazopokea wakimbizi wengi. Huwa mnafunga border haraka. Hata mlikataa kupokea wakimbizi kutoka Burundi. Tazama Kenya na Uganda tulivyo na roho safi. Uganda wanapokea Wakimbizi kutoka Sudan Kusini.
Tanzania wacheni kuwa na roho mbaya.