Kenya imekuwa nchi ya tatu barani Afrika baada ya Ghana na Malawi kuzindua chanjo ya Malaria

Kenya imekuwa nchi ya tatu barani Afrika baada ya Ghana na Malawi kuzindua chanjo ya Malaria

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya nchini humo, chanjo hiyo itatolewa katika kaunti nane: Homa Bay Kisumu, Migori, Siaya, Busia, Bungoma, Vihiga na Kakamega

Kenya inakuwa nchi ya tatu barani Afrika baada ya Ghana na Malawi kuzindua chanjo hii na kulingana na Wizara, chanjo hiyo itaongezewa kwenye ratiba ya chanjo kwa watoto nchini humo

============================

According to the ministry of Health, the vaccine will be rolled out in eight counties: Homa Bay Kisumu, Migori, Siaya, Busia, Bungoma, Vihiga and Kakamega.

Kenya becomes the third country in Africa after Ghana and Malawi to launch this vaccine. According to the ministry of Heath, the vaccine will be added to the immunisation schedule for Kenyan children.

More than 300,000 children are expected to be vaccinated in the next three years. It will be given to children aged six, seven, nine and 24 months
 
Kila siku chanjo mpya zinaanzishwa barani Africa, hivi wataalamu huwa wanafanya tafiti zozote kujiridhisha kama hazitakuwa na madhara ya baadae kwa watoto au kwa kuwa ni msaaada basi ni mwenda wa sindano tu au matone

Kuna nchi zenye malaria nje na bara la Africa mbona hatusikii kama chanjo hiyo itolewe.
 
Mbinu mpya ndo kupigana ma chanjo.🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️
 
Nawapa pongezu kwa jitihada walizofanya.kismsingi ukiongelea kupatikana chanjo ya maladia ni msumari mwingine wa moto kwa wazungu.sababu malaria ikitoweka watakufa njaa.maana kuna makampuni yanaishi kwa biashara ya dawa za malaria.Naishauri Tamzania pia ijikite kwenye kutokomeza mbu ili kuondoa malaria kabisa.Ila wajiandae kupingwa saana na mataifa ya viwanda.pia wajue hakuna mzungu yoyote yuko tayari kukupa msaada wa kutokomeza mbu.So ni kupambana na hali zetu kama tulivyoanza kwa kujenga kile kiwanda cha viwatilifu cha Kibaha ambacho hata madawa yanayotengenezwa yailikuwa hayanunuliwi hadi Mheshimiwa akawalazimisha halmashauri kwemda kununua.

Tunahitaji kujitoa ufahamu wakati mwingine kama nchi.tumechoka kuendelea kuuliwa na mbu
 
Back
Top Bottom