Na kama mngekaa vibaya mlikuwa mnapigwa Korosho pia, hawa jamaa ni noma....Tumeshuhudia mabilioni ya dola fake yakihifadhiwa ndani ya mabenki na hata Dhahabu ya mabilioni nayo yamekamatwa. Inasemekana hata viongozi na wanasiasa wakubwa wanahusika na biashara hii haramu. Je inaelekea kuwa taifa la Kitapeli?
Anko hilo sio LA kuuliza makenya maizi matapeli toka zamanii na majambazi pia ka unakumbuka kuna miaka arusha wizi wa magari ulitamalaki sana.. Na majambazi yenyewe yalikua makenyaaTumeshuhudia mabilioni ya dola fake yakihifadhiwa ndani ya mabenki na hata Dhahabu ya mabilioni nayo yamekamatwa. Inasemekana hata viongozi na wanasiasa wakubwa wanahusika na biashara hii haramu. Je inaelekea kuwa taifa la Kitapeli?
JF imeamsha serikali ya Tanzania!Na kama mngekaa vibaya mlikuwa mnapigwa Korosho pia, hawa jamaa ni noma....
[/QUOTE]Rocks with "FAKES" Hahahahaha, Hahahahaha.Think whatever yo want to,,,Kenya still rocks East and central Africa
Fake Dollars
Fake Gold
Fake GDP
Fake economy
Fake SGR
Fake BRT
Fake Education
Alafu unaona mijitu inakenua meno humu na Jioni hana cha kutia tumboni[emoji23][emoji23]
[/QUOTE]Yote ya Nini?Think whatever yo want to,,,Kenya still rocks East and central Africa
Fake Dollars
Fake Gold
Fake GDP
Fake economy
Fake SGR
Fake BRT
Fake Education
Alafu unaona mijitu inakenua meno humu na Jioni hana cha kutia tumboni[emoji23][emoji23]