Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Kenya imepanga kuondoa marufuku ambayo iliwekewa dhidi ya ndege ndogo zisizokuwa na rubani kufikia mwaka wa 2020, mdhibiti wa anga nchini alisema Ijumaa.
Gilbert Kibe, mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Anga ya Kenya (KCAA), aliwaambia waandishi wa habari jijini Nairobi kwamba ndege ndogo zisizokuwa na rubani zilikuwa zimepigwa marufuku Machi baada ya bunge kupitisha kanuni zilizokusudiwa kuhalalisha.