Kenya imepanga kuondoa marufuku dhidi ya ndege ndogo zisizokuwa na rubani

Dunia yakoo

Senior Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
139
Reaction score
214
Kenya imepanga kuondoa marufuku ambayo iliwekewa dhidi ya ndege ndogo zisizokuwa na rubani kufikia mwaka wa 2020, mdhibiti wa anga nchini alisema Ijumaa.

Gilbert Kibe, mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Anga ya Kenya (KCAA), aliwaambia waandishi wa habari jijini Nairobi kwamba ndege ndogo zisizokuwa na rubani zilikuwa zimepigwa marufuku Machi baada ya bunge kupitisha kanuni zilizokusudiwa kuhalalisha.
 
Good move I actually need one for personal use in my rural area farm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…