Kwanza napenda kutoa sifa za nchi za CAPITALISM
1. Exploitative(unyonyaji)
2.Unequal exchange(mgawanyo usio sawa)
3.classes(matabaka)
4.major means of production are owned by private sector.
N.k
Carl marx anakubaliana na theory isemayo "capitalist never work for loss"
Bado nasikitika sana kwa kweli na ninaumia kuelezea haya:-
Uamuzi wa kuachana na china na kujiunga ghafla na marekani nchi iliyo chini ya donald trump ni uamuzi wa kipekee uliofanywa na marais watatu tu mpaka sasa kutoka africa. Kuna mzimbabwe,ghana na kenya .
Niseme hivi china imechangia kwa asilimia kubwa katika maendeleo ya bara la africa kwa kadiri ya maisha ya watu wa africa bila ubaguzi,kunyanyapawa,kusimangwa,kupelekeshwa tena kwa mikataba ya kuelewana pande zote au wanasema in a win win situation. Mfano wa nchi hizo ni kenya,zambia,tanzania,Mozambique,malawi ambazo zimeingia mkataba na china n.k hizi ni nchi baazi tu ambazo ujenzi wa miundo mbinu yake imefanywa na china kwa moyo mmoja.
Lakini sasa kenya Tumesahau ufadhili huu na kujikuta tunaenda kwa trump ambae anasema hivi "america first"then other countries [emoji24] yani kwa kila analofanya anaitanguliza kwanza marekani lakini kenya tumeweka mkataba na marekani kwa kweli sijui kama tupo salama.
Sasa tatizo linakuja wapi? hizi pesa za marekani anazowekeza kwa ujenzi wa barabara ni bureeeee kweli zinakuja, bado hatujalipa mabillion ya china je kuna usalama hapo baadae(america & china)are enemies .
Licha ya hayo trump alisema africa it should be dominated au ndo wameanza tayari na hizo nchi ambazo marais wameanza kuenda ,trump ameshasema kauli nyingi chafu kwa ajili ya sisi waafrika lakini viongozi wanakumbuka maneno yake ya kibaguzi na kupata moyo na kumfata awape msaada ili waendeleze nchi zao kwa kweli hii ni hatarii .THINK BIG.
Sent using Jamii Forums mobile app